Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana

Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad

Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua .

Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana kuwakuta wapo na tabia za hivi.
 
Back
Top Bottom