Ukitaka kumpata Diamond for a show now..

Ukitaka kumpata Diamond for a show now..

Nani kakwambia ...haha

Hivi naomba kuuliza iv diamond hua hajishtukii sometime yan wewe ukigusa tu mahali panageuka almasi, yan kila anachogusa jamaa, yan unaserereka tu mwanawane hela zinakuja tu kama mvua we unazikinga tu na zinazidi kujaa tu non stop duuuuh

Shoo za nje za wasanii wote wa kibongo zipo kwa ajili ya kujiongezea umaarufu tu " sio maslahi
Hii ni siri ambayo inatuzwa vizuri na wasanii.....shoo za ndani zilikuwa zinawalipa vizuri zaidi/Sina uhakika kwa Sasa baada ya hawa wanaojiita wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM

40k+usd= 80m+Tzs == kiingilio kiwe laki= waingie watu 800

Haya mambo anaweza mzee wa Twanga photooo
 
Pole sana mkuu. Bado una uzilipendwa. Angalia popote unapotaka ku prove majibu utayapata mwenyewe. Maana mmezoea ligi za maneno tu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] n matatizo ya kutotembea hayo niljua mapema tuu,
usicompee shoo za flavour na diamond kibongobongo nenda mbele uone nan anakiwasha zaid achana na show za bdey party mjomba.
 
Milioni 87, itahitaji ukumbi unaochukua watu 8,700 watakaolipa kiingilio cha 10,000 ili kumlipa diamond. kwahiyo ukiandaa show kwenye uwanja wenye kuchukua watu 100,000 inakulipa
 
JAMAA BY JUNE 2016 ALIKUA NA UTAJIRI WA ZAIDI YA TZS 8 BILLION. (According to him)

SOMA HII:
speculations which have been blazing over the years have finally come to an end after the Make Me Sing hit-maker revealed to E!TV on Sunday, June 26 his net worth – a whopping USD4 million (KSh405 million).

The colossal amount has not come as a surprise to many, considering Diamond Platnumz is the most paid, decorated and sought-after artiste in Tanzania.

Most of his income comes from his totally sold out shows in Tanzania, East Africa and beyond the region. Diamond Platnumz has also served as Brand Ambassador of quite a number of corporate including: Vodacom, Cocacola, DSTV and Red Gold.

Unconfirmed reports claim Diamond Platnumz charges KSh370, 000 per show in his native Tanzania. When outsideBongonation, the star wouldn’t take anything less than KSh2.3 million for a performance.

Diamond Platnumz recently landed a deal to advertise Uber taxi operation services.

The award-winning music cog further makes a killing from mobile phone ringtones as his songs are among the most downloaded in East Africa by mobile phone users.

In African Great Lakes region, no musician equals him in selling of ringtones by mobile phone companies.

Diamond Platnumz also harvests revenue from his YouTube channel, considering the videos to his songs easily clock millions of views, hence a huge amount of money earned from YouTube ads.

Diamond Platnumz also owns quite a number of real estate properties such as apartments, land, business premises in Dar es Salaam, Tanzania.

The singer recently launched his record stable Wasafi Classic Baby (WCB) which has already began to pay off after he signed top acts such as Rich Mavoko, Harmonize and Raymond.
 
Alafu wanabisha eti ni uongo hapigi show kwa Tzs80Million wakati wakenya wanasema alipiga show kenya kwa Ksh 4Million! Labda watubadilishie million 4 za Kenya kibongo bongo ni millioni ngapi?
Hawa walisha zoeleka
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] n matatizo ya kutotembea hayo niljua mapema tuu,
usicompee shoo za flavour na diamond kibongobongo nenda mbele uone nan anakiwasha zaid achana na show za bdey party mjomba.
Una mbwembwe katika kujibu alafu hauna fact hata moja. Kwa i huko Youtube nlipokwambia ukaangalie kuna shiw za Diaomond za bongo peke yake? Na kuna za Flavour za Nigeria peke yake? Eti 'nenda mbele ukaone' we umehudhuria show ngapi za Mr. falvour huko mbele na za Diamond? Youtube ipo itumie ikusaidie. Hatuna haja ya kujaza mipasho humu wakati nyenzo zipo. Kila kitu Diamond kamfunika Flavour kuanzia wingi wa watu na wingi wa show za mbele! Amemfunika hata kwa wingi wa viewers wa nyimbo Youtube (hata ukijumlisha zile nyimbo za Flavour za kitambo kabla Domo hajafikia level hizo bado Flavour kafunikwa). Kamzidi kwa idadi ya followers katika social media zote (na hapa sio Flavour tu huyu mpoli poli hata akina Wizkid amewafunika)! Hii inaonesha Diamonda ana wider fan base compared na hao wote! Hivi unajua vigezo vinavyotumiwa na makampuni/music stakeholders kupima ukubwa wa msanii au unajitengenezea vigezo vyako vya 'u zilipendwa' eti kisa Flavour ni legend basi ndo msanii mkubwa. Kama hivyo basi na Dully Sykes ni msanii mkubwa kumzidi Kiba kwa sababu tu kaanza mziki mapema kabla ya Kiba. Tatizo wabongo mnapenda sana kuandika mipasho kulingana na hisia zenu bila kuinclude fact/evidence zozote.

Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106] [emoji106] [emoji106] umesomeka mkuuuu
 
Ni biashara na kila mtu anapanga bei yake sasa hamtaki au
 
Japo ni shabiki wake mkubwa ila numbers do not add up.
Labda kama shows za nje huko kwa wenzetu ingekuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hiki basi angekuwa ana ela zaidi ya sasa maana shows zake ni nyingi sana.
Clouds wamewanyonya sana mpaka watu hawaamini mtu anaweza lipwa hela hiyo, hujiulizi kwanini Clouds wanashindwa ku afford show zake?!....alafu pamoja na yote wameshindwa kumwekea bifu kama Jide!.....hawawezi kwasababu Mondi ni zaidi ya Clouds inayoishia Namanga na Tunduma, Dai ni Mkubwa zaidi ya hiyo Stesheni inayosikika Bongo....

Kwahyo Dai kulipwa hiyo hela kwenye nchi inayojua thamani ya Art ni kawaida sana...Tena bado ni ndogo sana waongeze.....Mziki mzuri unalipa
 
Tatizo letu wabongo huwa hamjui kupima ukubwa wa msanii, ndo maana huwa tunalazimisha kuwaweka group moja alikiba na diamond.
Ni hivi diamond kwa sasa ni msanii mkubwa africa lakini hajafikia kuwa na nguvu kama ya mr.flavour, uyu mr flavour akienda ghana, zambia ,benin, togo, ivory coast, malawi, comeroon, zimbabwe, gabon na south africa anawezo wa kupiga show kujaza kiwanja cha mpira, diamond nguvu hiyo bado hana japo atapata watu
Wapi katajwa kiba.....hapa anazungumziwa diamond tu
 
Una mbwembwe katika kujibu alafu hauna fact hata moja. Kwa i huko Youtube nlipokwambia ukaangalie kuna shiw za Diaomond za bongo peke yake? Na kuna za Flavour za Nigeria peke yake? Eti 'nenda mbele ukaone' we umehudhuria show ngapi za Mr. falvour huko mbele na za Diamond? Youtube ipo itumie ikusaidie. Hatuna haja ya kujaza mipasho humu wakati nyenzo zipo. Kila kitu Diamond kamfunika Flavour kuanzia wingi wa watu na wingi wa show za mbele! Amemfunika hata kwa wingi wa viewers wa nyimbo Youtube (hata ukijumlisha zile nyimbo za Flavour za kitambo kabla Domo hajafikia level hizo bado Flavour kafunikwa). Kamzidi kwa idadi ya followers katika social media zote (na hapa sio Flavour tu huyu mpoli poli hata akina Wizkid amewafunika)! Hii inaonesha Diamonda ana wider fan base compared na hao wote! Hivi unajua vigezo vinavyotumiwa na makampuni/music stakeholders kupima ukubwa wa msanii au unajitengenezea vigezo vyako vya 'u zilipendwa' eti kisa Flavour ni legend basi ndo msanii mkubwa. Kama hivyo basi na Dully Sykes ni msanii mkubwa kumzidi Kiba kwa sababu tu kaanza mziki mapema kabla ya Kiba. Tatizo wabongo mnapenda sana kuandika mipasho kulingana na hisia zenu bila kuinclude fact/evidence zozote.

Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
alafu kuna show huwa wanakua wasanii wengi kama fiesta.

ndo zinajaaga, mfano wizkid mwanza
anaweza kusema kua ile show ni yake, au wakazani show yake peke yake ..
kumbe nyuma ya pazia wameshirikiana wasanii wengi....

inabidi tuwe wafatiliaji wazuri
 
Mkuu diamond kweli ana hela hatukatai ila pia kuongeza sifuri kweny mahojiano yake inawezekana, kwani angesimama omy dimpoz na kusema kuwa ana bilion 8 bank ungekataa? Au ye alionesha uthibitisho kuwa kweli ana bilion 8, ata ww kwa watu wanaokufahamu na hadhi yako unaweza kuwaamba nina milion 500 benki wao wataangalia the way unavyojiweka tu na either watakubali au watakataa, so diamond anasema pesa ndefu akiwa anahojiwa ili kupandisha hadhi yake, hpo mapromota wakitaka huduma yake wanakuwa wanafkilia huyu jamaa alisema ana bilion 8 bank na anatoza milion 87 so ili ata tu kuanza kubagain razima angalau tuwe na milion 50

hivo ndo mchezo ulivo ndg yangu sio tunashupaa kutokwa povu utazani tuliongozana nae bank tukaziona, mwezi uliopita alikuwa na show kyera so napo uamini kuwa walimpa milion 87??? Anyway sisi wote ni wadau tu wa mziki wake na tunafurahia maendeleo yake ila hatujui chochote kuhusu utajiri wake hyo issue wanajua mameneja zake na yeye mwenyewe ila ye anatake advantage kwetu kulingana na the way anavyo ishi kifahari ata akiamka kesho akasema ss nina bilion 50 uamini, so haina haja ya kushupaza shingo huku jf alafu mwenye hela ni mwingine ni ujinga, hebu nasisi tukatafute zetu kwanza, jion njema
Show kyela daah hapa umewashika pabaya humu
 
Unaanzaje kufananisha show ya msanii na mshahara wa rais....hivi ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom