igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 957
- 1,496
Nani kakwambia ...haha
Hivi naomba kuuliza iv diamond hua hajishtukii sometime yan wewe ukigusa tu mahali panageuka almasi, yan kila anachogusa jamaa, yan unaserereka tu mwanawane hela zinakuja tu kama mvua we unazikinga tu na zinazidi kujaa tu non stop duuuuh
Shoo za nje za wasanii wote wa kibongo zipo kwa ajili ya kujiongezea umaarufu tu " sio maslahi
Hii ni siri ambayo inatuzwa vizuri na wasanii.....shoo za ndani zilikuwa zinawalipa vizuri zaidi/Sina uhakika kwa Sasa baada ya hawa wanaojiita wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM
40k+usd= 80m+Tzs == kiingilio kiwe laki= waingie watu 800
Haya mambo anaweza mzee wa Twanga photooo