Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Nilijua utasema hivo.


Kwahiyo kula unakula, ila kusema husemi ..hapo ndipo tumetofautiana au sio??.
 
Wanafeli kaka mkubwa. Inakera mada za kijinga ndio ziwe na wachangiaji wengi. Inaonyesha kuwa idadi yetu kubwa ni wajinga.
 
Siku moja nilitoa wazo humu pawe na SCREENING pindi mtu anapotaka kujiunga na huu mtandao.

Na ikibidi hata kuweka kigezo cha NAMBA YA TAIFA na NYARAKA ZA KITAALUMA.

Mavilaza yamejaa humuu yanapiga norinda 24 hrs.
I be ghetto boy na bi sinner

Midnight walkers karashikaaaaaa. Dem never see me coming jo jo.
 
Nimechoka kujificha. Kuongeza page hapa JF kwenye thread, mtu hufanyaje????
 
Niliandikaga jf Uzi wa kuhitaji msaada wa kufika USA,CANADA.niliishia kutukanwa na kukatiswa tamaa
Mavilaza haya hayawezi kukusaidia kitu. Hii forum ilikuwaga zamani bwana miaka ya 2015 chini huko unakutana na vichwa kweli kweli.

Siku hizi pamejaa MAMBURULAZ yanawaza kufirwa tu 24 hrs.
 
Mkuu kuna majukwaa mengi duniani huwa napitia na mengine nimejiunga
Unakuta kijana wa 18 madini anayoandika mpaka unashangaa
Nafikiri ni elimu pia humu wengi ni vilaza yes sio uongo
 
Mavilaza haya hayawezi kukusaidia kitu. Hii forum ilikuwaga zamani bwana miaka ya 2015 chini huko unakutana na vichwa kweli kweli.

Siku hizi pamejaa MAMBURULAZ yanawaza kufirwa tu 24 hrs.
Niliumia sana nikaamini kweli kila mtu ataubeba mzigo wake.yani namwomba mtu anisaidie jinsi ya kutimiza ndoto zangu ananiambia niwe SHONGA ndo nitatusua kimaisha dash htr
 
Kwa Mfani... Uzi wa Mikeka na kubeti... Toka nijiunge JF sijawahi kuufungua.... Uzi wa jF usiku wa manane, Uzi wa JF nipe likes..hizi Mara ya mwisho kufungua ni mwaka 2017 n.k n.k

Uzi wa kubeti sijawai na sito wai kufungua..😊😊

Uzi wa usiku wa manane huu ni mfariji maana Kuna siku UNAJIKUTA upo pekeako usiku so una amua kupata company

Jf nipe likes ni mdau zaman sana mara ya mwisho 2019 hukoooo...

all in all wote Tupo kwenye the same β›΅πŸš’πŸš’ boat

wasalaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…