Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukiniita kilaza wakati Mimi sio kilaza hainigharimu chochote ni sawa unapaka rangi upepo.

Hiyo social experiment ya kiduwanzi ulianzaje kuwaza hizo pumba, mbona Kuna constructive social experiment nyingi tu😏
In a normal reasoning capacity umeshindwa kujijibu huo uduwanzi🤣

Umefeli bwana hiyo ipo wazi.
Wewe ni LIKILAZA.

Hata mimi NINATHIBITISHA na KUGONGA MUHURI.
 
Zamani JF watu walikuja kujifunza, kupata Nondo,. Nyuzi zilianzishwa kwa ajili ya kutoa elimu.
Nyuzi za recreation zilikuwepo ila zilikuwa chache.

Ziku hizi wengi wanakuja kuburudika. Mtu anakuja kuburudika kwenye kitu anachokipenda.
Matokeo yake ndio utaona nyuzi za namna hiyo ni nyingi.

Btw mjinga anapenda burudani kuliko Elimu.
 
😂😂😂😂Si umesema unataka likes na coment nyingi kwenye nyuzi zako za maana? Ndo tupo hapa kukujazia au imekuaje tena😂😂😂
Records will find me innocent niggah. Hakuna niliposema nataka likes wala comments.

Nimekuja kuwapa ukweli napia siku tag mtu lakini kwakuwa najua ukweli unauma nilijua tu kuna wapuuzi mtapata ujumbe na kukunwa nao.

I'm glad kuwa ujumbe unaendelea kuwaingia.
 
Sikulazimishi u learn! Na sijakuita hapa. The thing is nimesema ukweli na umekugusa ndio maana umekuja hapa. Sija tag mtu lakini nashangaa mashambulizi ni mengi mwangu.

Kwanini usinge ignore kama haijakuchoka kwakuwa wewe ni mmoja wa wajinga. Why step on shit while you see it?
Mi mchangiaji tuu kama wengine😂😂 Chaliifrancisco dont take it too seriously.. 😂😂😂
 
😂😂😂😂Si umesema unataka likes na coment nyingi kwenye nyuzi zako za maana? Ndo tupo hapa kukujazia au imekuaje tena😂😂😂
tuko kumfariji kumbe hataki tena
 
Siku hizi hapa JF ukija kwa lengo la kuelemika utaambulia ziro.
Natamani iwepo namna ya kuignore Jukwaa zima.

Wajinga wanazidi kuongezeka, na elimu zao za degree.
Hili jukwaa mwaka 2015 kushuka chini lilikuwa tamu ajabuu. Unakutana na nyuzi za kuelimisha na kujenga.

Lakini siku hizi manyumbu yamevamiaa, FULL UKILAZA.
 
Madam sijui kina kupata kipi??, Ila kwani mtu kumsifia au kutambua uwepo wa mtu mwingine ni shida🤔🤔.
👉Au mpaka siku member flani akifa ndo asifiwe??
Sio shida the problem mnaitaka iwe ndo main topic

Mimi sawa siez mpangia mtu apost nini ila kama msomaji sijifunzi chochote heri muende PM mmalizane mbona ni rahisi and sio necessary naona ni minor thing tu zinamaliIka sio mpaka muanikane
 
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wacheche sana (mimi mmoja wao).

Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).

Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.

Hili jambo ni observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.


Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).

Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.

Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.

Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.

Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).

Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.

Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.

Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.

Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.

NONSENSE.
Yaan ukileta mada zako za maana 😊😊😊😊 ujue Kila binadamu yumo humu Jf Kwa interest zake wengine wapo for LEISURE WENGINE PLEASURE WENGINE STUDYING
Binadamu wa sikuizi wengi hawapendi mambo magumu magumu...🤓🤓🤓🤓
 
Au kuna jamaa anandikaga nyuzi eti amemuona mke wake ametoka chooni
[emoji1] [emoji1787] hilo litakuwa fala sana
Kuna lingine kutwa kutafuta story za boko, na Alshabab wakati wao kwao wanakimbizwa na hao hao ingawa hayatuhusu basi imekuwa ugonjwa kwake asipoandika anaumwa

Na wapo wafuasi kibao

Kuna nyuzi huwa nikiona nashangaa sana
 
😂😂😂😂Usome Kwa kutuliaaaa, ukiweka kitandan atoke anasema hivi
View attachment 2546324


..
View attachment 2546326


Boss kaelewa Shoooo.....

Alamis napiga Tena mechi ya marudio
See. Foolish stuff kama hizi ungeweka uzi dakika tano tu ungekuwa na wachangiaji alfutatu.

Lakini kwanini mtu uweke mambo yako personal hadharani?

Ni kutaka sifa za kijinga, kupenda show off na kama wewe ni mwanaume basi una vinasaba vya ushoga.

Real men don't kiss and tell niggah.
 
Back
Top Bottom