Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Aah the problem bhana wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha mahusiano yake na mtu fulani , wanachosha mno

Naeza onekana mshamba or whatever but this thing haijakaa poa heri angekua mdada tukasema its normal but mkaka tena unakuta mbaba kabisa its shame

Wanaume wa JF na simping ni [emoji1696]
Unakuta ka tag wadada kama mia kutoa tu heshima plus ku simp, ujinga ni mwingi aiseeee…
 
Sijakupangia ndugu, nimesema wajinga ni wengi. Kwakuwa na wewe ume fall kwa category ume take it personal.

Sorry but I'm not sorry.
Not personally at all😂😂😂 Just state in general na kama unahigh iq kweli utafikiria.. The thing is niko jf for entertainment afu we unilazmishe niwe for learning 😂😂😂nop nop.. Ndo maana kuna forums tofaut, unakutana na great thinkers huko,, usichukulie mtu poa kisa umemuona anacomment shits,, 😂😂😂😂
 
Ukiniita kilaza wakati Mimi sio kilaza hainigharimu chochote ni sawa unapaka rangi upepo.

Hiyo social experiment ya kiduwanzi ulianzaje kuwaza hizo pumba, mbona Kuna constructive social experiment nyingi tu😏
In a normal reasoning capacity umeshindwa kujijibu huo uduwanzi🤣

Umefeli bwana hiyo ipo wazi.
Sijafeli, ndio maana upo hapa unachangia dear. Ningefeli huu uzi usingekugusa mpaka ukawashwa.
 
😂😂😂 Huo Uzi ni kumbukumbu ya vizazi..

Ma genius na nyuzi zao za Mega Projects ,zitapita....


Ila masuala ya mgegedo hayatapita kamwe
Umeacha legasi mtu akigugo kuhusu maswala ya mgegedo uzi wako gugo wameupa hadhi ya kukaa top of the table bloggers chali 😂😂😂
IMG_20230311_181338.jpg
 
Ile mada yako sijachangia na ningechangia ningekukosoa kuandika ujinga wakati sio kawaida yako. Niko busy kiasi leo, si ni wewe umeandika mambo ya kununua chupi?
Ningekuwa na muda ningeongeza observation yangu ila kwa ufupi naungana nawewe
 
Ujinga umekuwa mwingi JF. Hii forum ni special sana na hata kama rais anaitembelea inaonekana ina influence kubwa lakini ukija kuangalia mada zenye kuchangiwa sana ni mada za kishenzi shenzi tu zinazohamasisha tu mambo ya ajabu ajabu kama mapenzi, ushoga, kupeana likes na upuuzi mwingine kama huo.
Siku moja nilitoa wazo humu pawe na SCREENING pindi mtu anapotaka kujiunga na huu mtandao.

Na ikibidi hata kuweka kigezo cha NAMBA YA TAIFA na NYARAKA ZA KITAALUMA.

Mavilaza yamejaa humuu yanapiga norinda 24 hrs.
 
Sio wivu mkuu kitu ukishakileta kwa internet tarajia kuna watakao kusapot most ni wanafiki

Wadada wanasapoti thread zako sidhan ka wanapenda kua Mama J in reality naona wanasoma afu wanaji-compare ka wako kwa hio side its like unawafariji

Afu kuna hawa wanakukosoa hawa ndo wanakutakia mema btn thrad sio nzuri ungekua ulaya huko ungekua ushafunguliwa makesi kibao
Haaa!
Ha ha ha haaaaa
 
Not personally at all😂😂😂 Just state in general na kama unahigh iq kweli utafikiria.. The thing is niko jf for entertainment afu we unilazmishe niwe for learning 😂😂😂nop nop.. Ndo maana kuna forums tofaut, unakutana na great thinkers huko,, usichukulie mtu poa kisa umemuona anacomment shits,, 😂😂😂😂
Sikulazimishi u learn! Na sijakuita hapa. The thing is nimesema ukweli na umekugusa ndio maana umekuja hapa. Sija tag mtu lakini nashangaa mashambulizi ni mengi kwangu.

Kwanini usinge ignore kama haijakuchoma kwakuwa wewe ni mmoja wa wajinga. Why step on shit while you see it?
 
Kuna mmoja kaanzisha uzi analaumu ameliwa sekunde 3 bwanaake akaanza kukoroma usipokua mtaalam unaweza kudhani analaumu kumbe ameweka tangazo
Afu unavotembea anajiona matawi kumbe behind the scene ni kujidhalilisha tu
 
Back
Top Bottom