Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Kweli na wale anaanzisha uzi kumsifia member flani sijui wanafikiriaga nini

Mambo mengine yaishie PM mahusiano yako na mtu fulani sisi hayatuhusu but ndo hivo tunaishi nao tu

Hahahha threads za hivo zimekua nyingi
Watu wana umaarufu wao bana[emoji16]
Ila JF is never boring wallah
 
Not at all
Japo kuna majukwaa mengi ila mtu aki log in JF hana mambo ya maana anayolisha akili yake zaidi ya ujinga

Lisha akili yakp vitu vinavyojenga sio kubomoa mkuu
Wajinga hawawezi kukuelewa. Akili chafu zinataka kulishwa uchafu tu. Ni sawa na mende na nzi ukifanya usafi wanakimbia.
 
Maumivu ni makali mno, yani mi nashangaa mtu kuumia kiasi hiki na anaowaita vilaza,, halafu vilaza wenyewe sasa😂😂😂
Ye mwenyewe kilaza mwenzetu tu
Mtoa mada hakosi miaka 27+
Mchana kuna uzi nikawa mentioned ikabidi nichungulie kunani… nakuta eti anatuuliza kama ni sahihi kumnunulia paints dada/ mama.

Mtu mwenye akili zake huyo, kashindwa hata kucope na tamaduni za nchi yake.
 
Bipolar😂😂😂😂 ndo usitufokeee sasa, unampangiaje mtu cha kufanya kwa bundle lakeee chaliiii😂😂😂
Sijakupangia ndugu, nimesema wajinga ni wengi. Kwakuwa na wewe ume fall kwa category ume take it personal.

Sorry but I'm not sorry.
 
Hahahha threads za hivo zimekua nyingi
Watu wana umaarufu wao bana[emoji16]
Ila JF is never boring wallah
Aah the problem bhana wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha mahusiano yake na mtu fulani , wanachosha mno

Naeza onekana mshamba or whatever but this thing haijakaa poa heri angekua mdada tukasema its normal but mkaka tena unakuta mbaba kabisa its shame
 
Back
Top Bottom