Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wacheche sana (mimi mmoja wao).

Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).

Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.

Hili jambo ni observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.


Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).

Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.

Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.

Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.

Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).

Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.

Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.

Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.

Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.

NONSENSE.
Mkuu nipe address yako nikuletee Meerust Rubicon vintage 1995,salute mkuu
 
Mtoa mada wee ndo ujaitambui,
Unatuleteaje habar za lema huku MMU

Huku MMU tunajadili MAPENZI,MAHUSIANO na URAFIKI


Ukija MMU afu ukategemea kupata habar za Lema na kwann Tanzania Ni maskini.

Basi Wewe ndo utapaswa ukapimwe akili[emoji4]
Kama ni mtihani hapo ni out of point o.p
 
Wabongo bwana, wanajidai wana akili kumbe hamna lolote.
Empty headed[emoji1787]
IMG_20220305_171404.jpg
 
Ni wivu tu wa likes comments na trending ya uzi, kwakweli inauma sana mtu kuandika uzi wa kipuuzi kwa mujibu wako akapata page 50 kwa masaa kidogo tu wakati wewe unaandika madini na unaenda wiki hata page 5 hufiki,
Waache kuandika nyuzi ndio soln ya kudumu

Wawe kama sie wasomaji
Madini yao wabaki nayo vichwani kama wanahisi kwa comments hayatoshei mpk waweka na nyuzi.
 
Mmhh nilidhani nishaona yote[emoji849]
Ohooo dada we acha tu kuna ufuska unafanywa na wanaume kwa hawa ke mpaka basi ni [emoji383] yako tu na uwe avg looking wanaume tunatomba hao ke yaani zinazagamuliwa kama pipi vile mkuuu.

Tembea uone ..........
 
Back
Top Bottom