DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Mzee huwezi kua serious mda wote Kuna mda ujinga unaendesha nchiTypical African minds. To be honest wengi wetu ni wajinga. Ndio maana ujinga umetawala. Angalia ujinga mwingi unafanyika bara gani kama sio Africa.