Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Umeandika ukweli mtupu, wengi ni vilaza wasiojielewa
Licha ya mada zisizokuwa na maana kuchangiwa ila hata za wizi wa mali ya umma huwa wengi wanafurahia kuibiwa yaani sijui huwa wanamkomoa nani

Tuna watu wa ajabu sana, watu ambao hata maendeleo ya mtu wanayashangaa
Mitandao mingine ya wenzetu hoja zao na michango yao mingi inasaidia sana
Lakini pia tataizo ni mods pia wanachangia
Mtu anaamka anaamua kutuambia kakimbiwa na Malaya na hela zake
Sasa sisi haituhusu ila mods wataiacha ichangiwe na wajinga
Utafikiri wanalipwa kwa nyuzi kuwa na wachangiaji wengi we don't know
Ujinga umekuwa mwingi JF. Hii forum ni special sana na hata kama rais anaitembelea inaonekana ina influence kubwa lakini ukija kuangalia mada zenye kuchangiwa sana ni mada za kishenzi shenzi tu zinazohamasisha tu mambo ya ajabu ajabu kama mapenzi, ushoga, kupeana likes na upuuzi mwingine kama huo.
 
Usifanye mambo kua magumu Mkuu.

Humu Kuna Madaktari, Kuna mwingine ni Mwalimu... Mwingine Mwanasheria kama Pasco...Mwingine Muhandisi ... Mwingine Mfanyabiashara ...Mwingine Hana Kazi..Mwingine mwanachuo. Kuna Madereva humu, Kuna mafundi Ujenzi humu .n.k

Sasa Kila mmoja akisema ajikite kwenye Profession yake , au Mimi niende kuchangia Mada za Uinjinia. ,au Mimi nichangie Mada za Sijui Kati ya Nairobi na Dar ipi nzuri? Sijui DODOMA na Mwanza wapi pazuri .... Mimi binafsi nitakua nmefanya matumizi mabaya ya Akili yangu .

Humu Ndani Kuna nyuzi ambazo Mimi hata iweje Sitokaa kuzifungua baada ya Kusoma Vichwa vya habari..

Kwa Mfani... Uzi wa Mikeka na kubeti... Toka nijiunge JF sijawahi kuufungua.... Uzi wa jF usiku wa manane, Uzi wa JF nipe likes..hizi Mara ya mwisho kufungua ni mwaka 2017 n.k n.k

Lakini hizo nyuzi Kuna watu wanazielewa sanaaa .

Watu hao sio wajinga Wala nini , ni Mahali ambapo ukiachilia mbali taaluma zao, hapo ndipo wanachangamsha akili

Mimi binafsi hata Ukinita mjinga ,poa tuu ,you are awesome ila ukweli ni kwamba, kwenye UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA, HUNIAMBIII KITU ....NITAUCHANGIA ULE UZI MPAKA SIKU MOJA RAIS SA100 AKIWA JUKWAAN ASEME "KAMA MULE JF KUNA ID YATAITWA CARLOS THE JACKAL, WANANGU NAWAAMBIENI ILE ID INAKULA KIMASIHARA SANA MPAKA INATISHA AU NDIO MKONGO??.

Hapa penyewee nipo naweka sawa Mbususu fulan nataka niile Asubuhi ,alafu usiku Nile mbususu ya yule Bidada nilowaelezea kwenye Uzi wa masihara !!.

Yaan hizi nyuzi za ujinga ujinga, ndo tunakutania hukooo Kwa pamoja
Kwahiyo unamaanisha kuwa wanaoleta mada za kulana na ushoga hao ni professional zao sio? Okay tunawaachia upumbavu wenu.
 
Huo ni uzi mmoja unaoweza kuuweka pembeni. Lakini wachangiaji ndio wale unaowaona kwenye mda za kulana kimasihara? Hapo huwezi kukuta vichwa panzi lazima ukute wanaojielewa wakishusha fcats.
Duuuh kwahiyo nyie Ma Genius mna nyuzi zenu, ndio mnajadili masuala makubwa ya Nchi?

Kumbe ndo maana tunawagongea wake zenu
 
majukwaa na mada ndiyo vinaamua mada itembee/isitembee. Kila mtu ana interest zake jf hatuwezi wote kuwa washabiki wa MMU au siasa n.k
Kwenye kundi lolote la watu wengi kuna kila aina tofauti tofauti za watu ni kuchagua upande wako unaofit.
Ni kweli lakini uki compare utakuta mada zenye kushabikiwa nyingi ni zisizo na tija.

Ndio maana nikasema wajinga ni wengi. Kwakuwa mada zenye tija hazina wafuasi humu JF. Mada za kipuuzi ndio zinazokimbiliwa na wengi.

Maana yake hao watu ukiwaweka mezani wajenge hoja hawana uwezo so ni wajinga tu.

Ndio maana wanakimbilia mada zisizotaka kutumia akilia bali kuonyesha upumbavu wao
 
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wacheche sana (mimi mmoja wao).

Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).

Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.

Hili jambo ni observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.

Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).

Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.

Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.

Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.

Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).

Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.

Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.

Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.

Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.

NONSENSE.
Nakubaliana na wewe. Ila hapo kwa Lema kuna ukakasi kidogo, huwezi kuita kazi ya boda boda ni laana wakati kuna watu wanasomesha na kuweka chakula juu ya meza kupitia shughuli hiyo. Kuna namna bora ya kutamka ama kuliangazia janga hili. Lema alikosa Emotional Intelligence katika kauli ile inawezekana furaha ilimpitiliza akajikuta anatamka maneno bila kufikiri
 
Usifanye mambo kua magumu Mkuu.

Humu Kuna Madaktari, Kuna mwingine ni Mwalimu... Mwingine Mwanasheria kama Pasco...Mwingine Muhandisi ... Mwingine Mfanyabiashara ...Mwingine Hana Kazi..Mwingine mwanachuo. Kuna Madereva humu, Kuna mafundi Ujenzi humu .n.k

Sasa Kila mmoja akisema ajikite kwenye Profession yake , au Mimi niende kuchangia Mada za Uinjinia. ,au Mimi nichangie Mada za Sijui Kati ya Nairobi na Dar ipi nzuri? Sijui DODOMA na Mwanza wapi pazuri .... Mimi binafsi nitakua nmefanya matumizi mabaya ya Akili yangu .

Humu Ndani Kuna nyuzi ambazo Mimi hata iweje Sitokaa kuzifungua baada ya Kusoma Vichwa vya habari..

Kwa Mfani... Uzi wa Mikeka na kubeti... Toka nijiunge JF sijawahi kuufungua.... Uzi wa jF usiku wa manane, Uzi wa JF nipe likes..hizi Mara ya mwisho kufungua ni mwaka 2017 n.k n.k

Lakini hizo nyuzi Kuna watu wanazielewa sanaaa .

Watu hao sio wajinga Wala nini , ni Mahali ambapo ukiachilia mbali taaluma zao, hapo ndipo wanachangamsha akili

Mimi binafsi hata Ukinita mjinga ,poa tuu ,you are awesome ila ukweli ni kwamba, kwenye UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA, HUNIAMBIII KITU ....NITAUCHANGIA ULE UZI MPAKA SIKU MOJA RAIS SA100 AKIWA JUKWAAN ASEME "KAMA MULE JF KUNA ID YATAITWA CARLOS THE JACKAL, WANANGU NAWAAMBIENI ILE ID INAKULA KIMASIHARA SANA MPAKA INATISHA AU NDIO MKONGO??.

Hapa penyewee nipo naweka sawa Mbususu fulan nataka niile Asubuhi ,alafu usiku Nile mbususu ya yule Bidada nilowaelezea kwenye Uzi wa masihara !!.

Yaan hizi nyuzi za ujinga ujinga, ndo tunakutania hukooo Kwa pamoja
Siku ya hesabu yako mbinguni haina haja ya kwenda mbali unaletwa uzi wa kula kimasihara utatosha kukuhukumu...
 
Kwahiyo unamaanisha kuwa wanaoleta mada za kulana na ushoga hao ni professional zao sio? Okay tunawaachia upumbavu wenu.
Maana yangu nikwamba, Muanzisha Uzi wa masihara, ana profession yake .

Ila alipochoka, siku Moja akawaza kitu kichwan mpaka akaanzisha huo Uzi.

Lkn bado hiyo haimuondolei ukweli kua ana profession yake.

Mkuu , Niamin, Mimi nikisema nianze andika threads za medical ... utakachochangia sana sana ni kuuliza maswali , au ugugo ndo uje uandike na Kwa bahati mbaya zaidi watakaochangia ni wale ambao watakua wanaguswa na topic husika.

Sasa basi, Ili tukutanie sehem Moja, ndo unaona Kuna nyuzi kama za masihara !!.....wakati huo huo siku ukiamka unawaza masuala ya Msingi au umekutana na Uzi wa mambo ya Msingi na unataka kuchangia basi unachangia .
 
Duuuh kwahiyo nyie Ma Genius mna nyuzi zenu, ndio mnajadili masuala makubwa ya Nchi?

Kumbe ndo maana tunawagongea wake zenu
Wewe ni mmoja wa wasio na akili, huwa unajiona mjuaji sana ikiletwa mada ya kipumbavu inayohusu mambo ya kipumbavu na kuandika miandiko mirefu isiyo na maana.

Uliwahi kuona mtu kama Robert Heriel akiandika ujinga kama wako au akichangia upumbavu.

People who make sense set themselves apart.

You stoop low and you is a looser. Tutakuambia tu.
 
Kapicha cha kusapoti uzi, jana ile kuingia nimekutana na hii trend nimecheka sana ..
Screenshot_20230310_183941.jpg
 
Maana yangu nikwamba, Muanzisha Uzi wa masihara, ana profession yake .

Ila alipochoka, siku Moja akawaza kitu kichwan mpaka akaanzisha huo Uzi.

Lkn bado hiyo haimuondolei ukweli kua ana profession yake.

Mkuu , Niamin, Mimi nikisema nianze andika threads za medical ... utakachochangia sana sana ni kuuliza maswali , au ugugo ndo uje uandike na Kwa bahati mbaya zaidi watakaochangia ni wale ambao watakua wanaguswa na topic husika.

Sasa basi, Ili tukutanie sehem Moja, ndo unaona Kuna nyuzi kama za masihara !!.....wakati huo huo siku ukiamka unawaza masuala ya Msingi au umekutana na Uzi wa mambo ya Msingi na unataka kuchangia basi unachangia .
Profession ya ujinga? What is profession nigga? Do you hear yourself?

Yani kuandika upuuzi au kupenda upuuzi nayo imekuwa profession?
 
Wewe ni mmoja wa wasio na akili, huwa unajiona mjuaji sana ikiletwa mada ya kipumbavu inayohusu mambo ya kipumbavu na kuandika miandiko mirefu isiyo na maana.

Uliwahi kuona mtu kama Robert Heriel akiandika ujinga kama wako au akichangia upumbavu.

Prople who make sense set themselves apart.

You stoop low and you is a looser. Tutakuambia tu.
Ni kweli Mkuu, Siunaona Leo umeandika Mada ya kipumbavu, nikaisoma ,nikasema hata kama mie mpumbavu, ila wee umezidi Upumbavu ndio maana sikuchangia.

Huyu Robert H, sitomgusia Kwa sababu naye ni binadamu.
 
Back
Top Bottom