Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Huuu uzi nachukua notes kabisa niende kumshughulikia vyedi mwezi wa 7 [emoji19]
😂😂😂😂Usome Kwa kutuliaaaa, ukiweka kitandan atoke anasema hivi
Screenshot_20230311_181353~2.jpg



..
Screenshot_20230311_181445~2.jpg



Boss kaelewa Shoooo.....

Alamis napiga Tena mechi ya marudio
 
Siku moja nilitoa wazo humu pawe na SCREENING pindi mtu anapotaka kujiunga na huu mtandao.

Na ikibidi hata kuweka kigezo cha NAMBA YA TAIFA na NYARAKA ZA KITAALUMA.

Mavilaza yamejaa humuu yanapiga norinda 24 hrs.
Ukiandika ukweli siku zote unaumiza wengi mkuu. Ila leo na deal nao sahani moja.
 
Sikulazimishi u learn! Na sijakuita hapa. The thing is nimesema ukweli na umekugusa ndio maana umekuja hapa. Sija tag mtu lakini nashangaa mashambulizi ni mengi mwangu.

Kwanini usinge ignore kama haijakuchoka kwakuwa wewe ni mmoja wa wajinga. Why step on shit while you see it?
😂😂😂😂Si umesema unataka likes na coment nyingi kwenye nyuzi zako za maana? Ndo tupo hapa kukujazia au imekuaje tena😂😂😂
 
Eti kuwashwa,
Hizo ndio experience zako huwa unawashwa mwili?

Kutumia lugha mbaya hakunizuii Mimi kuwa Bora katika mazingira halisi.

Jifunze anger management
I'm angry. Nimetoa tu maoni yangu. You are the one who's angry because you came to my thread to attack me cause I spoke the truth niggah
 
Halafu ukichunguza utakuta aina za wachangiaji wa hizo mada ni walewale.

watageuza hapo ni kijiwe cha kupiga soga.
Nadhani ni ile tu mtu anaamua kutokuwa serious sana mtaondani, wameamua kuishi bila stress na kukaza fuvu wakiwa humu
 
Na uzi umetembea vibaya mno[emoji16]
Hayo ndio mambo watu wanataka kuyasikia aiseee
Watu wana simp na shangazi zao kabisa yani[emoji38]
Na huko kwenye praiveti boksi meseji zitakua zimejaa sana sasa lengo lake ni hilo si anajua sisi wanaume udhaifu wetu ni kutugusia mada za mapenzi anakua kama umetupiga starter tuhamishie umakini kwake
 
Na huko kwenye praiveti boksi meseji zitakua zimejaa sana sasa lengo lake ni hilo si anajua sisi wanaume udhaifu wetu ni kutugusia mada za mapenzi anakua kama umetupiga starter tuhamishie umakini kwake
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom