Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Yani Mimi mwanaume nasimamisha mda wowote .nakuomba ushauli unaniambia niwe SHOGA.dunia imeisha yani hapo ndo niliishusha jfNiliumia sana nikaamini kweli kila mtu ataubeba mzigo wake.yani namwomba mtu anisaidie jinsi ya kutimiza ndoto zangu ananiambia niwe SHONGA ndo nitatusua kimaisha dash htr
EndiwoooKwahyo nilijichanganya?
Kwahyo unanisaidiaje?Endiwooo
Haya Fungasha wowowo unitikisie.Ili niwaje mkuu😂😂😂 hapo ndo niko nafit
Huu ndio ukweliWatu wanataka kutimiza fantasy zao
Uchafu uchafu tuu Hakuna cha maana
Upuuzi ni mwingi hapa jukwaani mkuuNi kama hivi
Wanaume mmewahi kukutana na hii hali?
Iko hivi; Kuna binti nilikua nammezea mate kinoma. Kuna mahala huwa nakunywa chai sasa huwa anapenda kuja kununua vitafunwa hapo, so nikawa namuonaona pale. Wiki mbili zilizopita nilimuomba namba akanipa, kidume nikasema umeisha wewe. Nilikaa na ile namba bila kumtafuta kama wiki hivi, juzi...www.jamiiforums.com
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mbona huyu huyu kidoti wa pwani alishapigwa na jamaa alipiga hela mgodini akampa 2M mkuu. Yaani Kama ilikuwa ni ndoto yake. Akitokea nyamongo mpaka dar akainuse k ya dotiki nakubali mkuu kwenye chapaa kizazi hiki hakuna anaechomoa kuna mtu alikula mama na mwanae nyakati tofauti na kunae jamaa...www.jamiiforums.com
Dogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya wazee wa simping mtoke huko nyuma mje mbele kusoma ka ujumbe kenu
Mkuu wee safisha Macho Mkuu.Unamwambia nani? Kwa manufaa gani?
Be a man bro. Una expose mambo yako kwa faida gani?
Hahaha mkuu hawa akili ndogo ukiwaambia hivyo wanakuchukia sana aseeHalafu yalivyo MANYUMBU eti yanaitana na kusherehekea tafrija ya MEMBER BORA kuliko wengine.
Hao MEMBER BORA wenyewe ni manyumbu yale yale ya TUNDA LA KIMASKHARA...
🤣🤣🤣🤣Vayolensi mode activated
Patakua padogo humu. Ila ukweli lazma usemwe
It's kelpea vibezMie sijaona tatizo. Kuna watu baada ya purukushan zao za kimaisha story za hovyo ndio raha yake muda usonge sasa tukianza kulaumiana itakuaje tena jaman eeh nje ya Jf kugumu na ndani pia kuwe kugumu. Tuvumiliane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko bright, kudos to you 💪🙏. Ila na wewe use una andika nyuzi.Sio shida the problem mnaitaka iwe ndo main topic
Mimi sawa siez mpangia mtu apost nini ila kama msomaji sijifunzi chochote heri muende PM mmalizane mbona ni rahisi and sio necessary naona ni minor thing tu zinamaliIka sio mpaka muanikane
Mavilaza haya hayawezi kukusaidia kitu. Hii forum ilikuwaga zamani bwana miaka ya 2015 chini huko unakutana na vichwa kweli kweli.
Siku hizi pamejaa MAMBURULAZ yanawaza kufirwa tu 24 hrs.
[emoji23]Yani Mimi mwanaume nasimamisha mda wowote .nakuomba ushauli unaniambia niwe SHOGA.dunia imeisha yani hapo ndo niliishusha jf
Mkuu kuna majukwaa mengi duniani huwa napitia na mengine nimejiunga
Unakuta kijana wa 18 madini anayoandika mpaka unashangaa
Nafikiri ni elimu pia humu wengi ni vilaza yes sio uongo
Halafu orodha ndefu ya kutag vilaza wenzenu😂😂😂😂
Sielewi ndugu
Humu ndani 98 sie vilaza mtusamehe
Uzi unakuta ni wa magari mf, lkn tunatokea vilaza baadhi tunakuja kupiga umbea au kubebishana.
Nyieeee 🤣🤣🤣🤣🤣