Umeona ujisuuze Kwa mada ya kishoga uliyoianzisha Leo mkuuπ€£π€£π€£π€£π€£JF ni imekuwa kichaka cha watu wasiojielewa, hasa wanawake wanaojiuza na wenzao wanunuaji.
Huwezi kuweka topic yenye mantiki ikachangiwa maana wengi wala hawaelewi kinachoendelea wanawaza tu kupigana miti na kutafuta likes.
Shenzistan.
Ameishiwa swaga π€£π€£π€£π€£We kenge usipangie watu maisha
I mean no malice to nobodySana mlinikeraa hadi NIKASAGA MENOO...
Mitandao imejaa mavilaza ya ajabuuu yanafanya vitukoo.
Hupati kitu cha kujenga zaidi ya KUKERWAAAA NA MAVILAZAZZ
Kweli maishani kuna kila aina ya watu ila mleta Mada ana hoja pia
Mimi nilitukanwa out of blue kisa kuchangia tu ila nilimjibu kwa staha sana mpaka akawa mpole
Bila kutumia hekima wakati mwingine unaweza tupa ngumi hewani
Soma mada ndio u relate dada yangu. Hii ilikuwa social experiment na ndio chanzo cha uzi huu πππ
Mkuu kuna majukwaa mengi duniani huwa napitia na mengine nimejiunga
Unakuta kijana wa 18 madini anayoandika mpaka unashangaa
Nafikiri ni elimu pia humu wengi ni vilaza yes sio uongo
Anajisuuza tu,Leo si kaanzisha mada kutuuliza amnunulie mama mkwe wake chupi ya rangi ganiπ€£π€£π€£π€£ππππUngekuwa unaangalia tu usingeandika uzi, wivu unaua katafute tibaπππ
Aanzishe jukwaa lake la vitu critical halafu waalike wagumu wenzie,aje atupe mrejeshoUna hoja
Usikilizwe
Kweli kabisa mkuuu hamna kupangiana maa ujinga sijui dont kiss and tell sijui vilaza thread hamna chochote maana watu wana unafki mwingi sana wanataka waonekana wana akili wakati ni hollllaaaa hollllaaaeeeHao Kwan wananisumbuaga hao wa 'Man don't kiss and tell ' .
Hao hao kuna mabwana zao ,wanapicha zao za uchi na pengine video za Ngono , wakikaa wanatumiana.
Kwan Nikitell inanipunguzia Uanaume ? Au Kwamba Maneno Yao yatafanya niache kula mbususu ?.
Yaaan niache kula mbususu za wadada Tena wengine wananianza wao??.
nitakua Sina akili kabisa ππ
Ishi sana mwizi mwenzagu
ππ em niache we mtotoKuna vilaza wangu wachache nimewaona hapo
Bado wewe[emoji38]
Lazma tubanane humu humu tuwatie MIKWAJUU NIWAKEREEE kweli kweliWe si uende quora au reddit kwa wenye akili social networks ziko nyingi mkkuuu maneno yako won't change a single thing
Njoo basi inboksiniNajua babe
Halafu nitumie bas vile vitabu tena
That's so sweet language, you could have answered like this from the beginning.Soma mada ndio u relate dada yangu. Hii ilikuwa social experiment na ndio chanzo cha uzi huu πππ
Hana jipya..... kujifanya MtakatifuπππAanzishe jukwaa lake la vitu critical halafu waalike wagumu wenzie,aje atupe mrejesho
Na hivi visivyo na maana ndo vinavyouza zaidiSisi wabongo wengi ni wavivu ndio maana inakuwa ngumu kufikiri vya maana,
Embu unafikiri vya Maana alafu Yule anayeifanya vitu vya ajabuajabu ndio anapata shavuπ€£π€£π€£
Hata ingekuwa wewe ungekubali
Akili kwanza za kazi gani banaaaa.. π π π π usiku mnene uingie niingie mzigoniIshi sana mwizi mwenzagu
Babe hivi nilikuruhusu ku install Twitter?Pornhub ni kama imehamia kule aiseeee
Account za hivo ziko za kutosha
Mambo mengine mpaka ni aibu maana unafungua Twitter unabidi uangalie kulia na kushoto kama kuna watu. Mada za kukosoana na kugombana ndio useme plus Spaces za kuongelea mapenzi ni balaa