To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Umeona ujisuuze Kwa mada ya kishoga uliyoianzisha Leo mkuu🤣🤣🤣🤣🤣JF ni imekuwa kichaka cha watu wasiojielewa, hasa wanawake wanaojiuza na wenzao wanunuaji.
Huwezi kuweka topic yenye mantiki ikachangiwa maana wengi wala hawaelewi kinachoendelea wanawaza tu kupigana miti na kutafuta likes.
Shenzistan.