Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Humu mitandaoni usitafute kujenga hoja au kubishana na mtu chill soma like, comment, humu hatuhitaji kushupaza shingo. Nimecheka sana kujua ww ulikua unataka kubishana tena kwa kuparamia comment ambayo ipo huru sijamreply mtu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Hili lenyewe ni tatizo
 
Haya
 
Ni kweli kabisa nchi hii ina watu wa hovyo sana. Jukwaa la mahusiano na mapenzi ni kama jukwaa la ngono maana mada nyingi ni za ngono na wachangiaji lukuki. Hata majukwaa mengine mada zenye wachangiaji wengi ni zile zenye uhusiano wa ngono.
 
shida ya wabongo kuchagua dhambi na kujikuta, wewe nawe walewale tena inawezekana ni zaidi
upuuzi tu umeandika hapa.
 
Ni kweli kabisa nchi hii ina watu wa hovyo sana. Jukwaa la mahusiano na mapenzi ni kama jukwaa la ngono maana mada nyingi ni za ngono na wachangiaji lukuki. Hata majukwaa mengine mada zenye wachangiaji wengi ni zile zenye uhusiano wa ngono.
Ukiwaambia wanakuja kwa nguvu kukurarua ila mimi huwa sitishiwi na vilaza. Wenye hoja tu ndio ninaoweza kutishika nao.

Hawa wengine naenda nao sambamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…