Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Mkuu, wewe ni kati ya wale wajinga!

Uwezi ukapangia watu thread za kushiriki na kuto shiriki baadhi ya thread, sio justification kwamba wa Tanzania ni Wajinga.
Nime justify kwa kuangalia ni nini kinapendwa zaidi. Sijapangia mtu ila nimefanya social experiment na kugundua watu wengi hatupendi mambo ya maana bali tunapenda upuuzi
 
Mkuu,

Anzisha mada zako, jenga ushawishi kwenye mada zako.

Ukipata watu ni vizuri. Usipopata watu pia hilo halimaanishi mada zako hazina maana. Maana ya mada inakwenda kwa hoja, si wingi wa watu.

Zaidi, usishambulie mada za wengine, hatuwezi wote kuwa sawa. Na hata tukiwa sawa, hatuwezi kujikita kwenye mada za namna moja kila wakati. Tutakosa diversity. Diversity nayo ni muhimu sana.

Waachie wengine wajinafasi wanavyotaka.

Ni haki yao ya kikatiba.

Wewe ungefanyiwa unyanyapaa kwa mada zako ungeonaje? Yani mtu akuzodoe "Huyu naye kujifanya jioni kisomo kila kitu, muangalieni anavyojishaua kujifanya much know" kwa sababu unaleta maja za kisomi, ungeonaje?

Mimi kama mtetezi wa free speech natetea haki za watu kuanzisha mada wanazotaka, hata zile unazoweza kuona za kijinga zinaweza kuwa na maana ya kuburudisha watu waliochoka wanaotaka mambo mepesi mepesi, au watu ambao wanapenda mambo hayo, ni haki yao kufurahia mada hizo bila kunyanyapaliwa.

Unaelewa kwamba ukifuta mada hizi unazoziona za kijinga, unaweza kuwapotezea nafasi wasomi wengine wa sosholojia na saikolojia kwa mfano, kufanya research zao hapa JF?
 
Tupe mfano wa mada yenye tija.
 
Tupe mfano wa mada yenye tija.
 
Upo sawa.
 
Mkuu sio kila mtu anakuja jf kw ajil ya kushrki warsha, semina, kufuatilia midahalo ya kisiasa ama kidini, majority ya watu wanaingia JF muda wamemalzana na Kaz na jF inakuwq kama sehem ya kurelax na recreation so hawa wtu waliochosha na bongo kutwa nzma kusaka dough vchwa vmepata moto halaf Moja kw Moja jukwaa la dini kubishana dini? Ama kubishana n serkali hii ya fisiemu, Sio kwl.,, Nlchogndua Humu weng wako kw Hilo kuja kupunguza stressna mamb kama hayo pamoja na kujfunza mamb meng ya kijamii ikiwamo na biashara ful stop. Hi haimaanishi kwmba hawa sio watu wawajibikaji nope they are in reality very responsible na wnajua to do the right thing at a right time since huk hata uksemea Madudu ya nchi Yanayoendlea then what next hakuna output yeyote wastage of time and energy SAS s heri watu wakqshnde Uzi wa RIKIBOY ule Uzi pendww just to cool the mind for tomorrow...!!
 
JF ni imekuwa kichaka cha watu wasiojielewa, hasa wanawake wanaojiuza na wenzao wanunuaji.

Huwezi kuweka topic yenye mantiki ikachangiwa maana wengi wala hawaelewi kinachoendelea wanawaza tu kupigana miti na kutafuta likes.

Shenzistan.
Wapi huko jf wanapigana miti munionyeshe na mie
 
Hata hao ngozi nyeupe unaowatukuza mada zinazotrend kwao ni hizi hizi na za ushoga.
Mapenzi ndo the singular thing kinachomhold binadamu kwenye hii reality. Otherwise hata civilizations zetu zisingekua vipi.
Elewa maana pana, usifate mkumbo
 
Naam
 
Safi sana brother. Sijui mimi unaniweka kundi gani brother. Ila kuna thread humu huwa ninazipita kama sizioni. Zinakera. Kweli ni za kijinga tena sana.
 
Safi sana brother. Sijui mimi unaniweka kundi gani brother. Ila kuna thread humu huwa ninazipita kama sizioni. Zinakera. Kweli ni za kijinga tena sana.
Huwa inaboa issue critical watu huwa wana skip ila ufala ndio unashabikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…