Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Ss Kwan uliambiwa hk twawataka wenye akili ?Achana na CCM mana waenda kuwehuka.
Mbungi huna kichwa singeli njoo kwe2 Afande.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ss Kwan uliambiwa hk twawataka wenye akili ?Achana na CCM mana waenda kuwehuka.
Ni hatari kwa maendeleo ya taifa. Huwa tunayumbishwa sana.Wabongo karibu mitandao yote ufikiri ni changamoto mfumo unaamua nini wafikiri na kwa muda gani na hiyo inaonesha wapo kwenye kundi la kati wanaenda na matukio na kuongelea watu.
Nime justify kwa kuangalia ni nini kinapendwa zaidi. Sijapangia mtu ila nimefanya social experiment na kugundua watu wengi hatupendi mambo ya maana bali tunapenda upuuziMkuu, wewe ni kati ya wale wajinga!
Uwezi ukapangia watu thread za kushiriki na kuto shiriki baadhi ya thread, sio justification kwamba wa Tanzania ni Wajinga.
Mkuu,Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao).
Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).
Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.
Hili jambo nime observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.
Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).
Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.
Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.
Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.
Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).
Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.
Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.
Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.
Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.
NONSENSE.
Tufanyeje mkuu...Ni hatari kwa maendeleo ya taifa. Huwa tunayumbishwa sana.
Tupe mfano wa mada yenye tija.Ni kweli lakini uki compare utakuta mada zenye kushabikiwa nyingi ni zisizo na tija.
Ndio maana nikasema wajinga ni wengi. Kwakuwa mada zenye tija hazina wafuasi humu JF. Mada za kipuuzi ndio zinazokimbiliwa na wengi.
Maana yake hao watu ukiwaweka mezani wajenge hoja hawana uwezo so ni wajinga tu.
Ndio maana wanakimbilia mada zisizotaka kutumia akilia bali kuonyesha upumbavu wao
Tupe mfano wa mada yenye tija.
Muulize GodblessHebu dadafua kidogo kuhusu "bodaboda ni laana".
Upo sawa.Mkuu,
Anzisha mada zako, jenga ushawishi kwenye mada zako.
Ukipata watu ni vizuri. Usipopata watu pia hilo halimaanishi mada zako hazina maana. Maana ya mada inakwenda kwa hoja, si wingi wa watu.
Zaidi, usishambulie mada za wengine, hatuwezi wote kuwa sawa. Na hata tukiwa sawa, hatuwezi kujikita kwenye mada za namna moja kila wakati. Tutakosa diversity. Diversity nayo ni muhimu sana.
Waachie wengine wajinafasi wanavyotaka.
Ni haki yao ya kikatiba.
Wewe ungefanyiwa unyanyapaa kwa mada zako ungeonaje? Yani mtu akuzodoe "Huyu naye kujifanya jioni kisomo kila kitu, muangalieni anavyojishaua kujifanya much know" kwa sababu unaleta maja za kisomi, ungeonaje?
Mimi kama mtetezi wa free speech natetea haki za watu juanzisha mada wanazotaka, hata zile unazoweza kuona za kijinga zinaweza kuwa na maana ya kuburudisha watu waliochoka wanaotaka mambo mepesi mepesi, au watu ambao wanapenda mambo hayo, ni haki yao kufurahia mada hizo bila kunyanyapaliwa.
Unaelewa kwamba ukifuta mada hizi unazoziona za kijinga, unaweza kuwapotezea nafasi wasomi wengine wa sosholojia na saikolojia kwa mfano, kufanya research zao hapa JF?
🤣🤣Kilaza Bibi yako mbwa wewe.
sure wapoIla wenye bongo wapo, wanaandika nyuzi zilizoenda shule.
Wapi huko jf wanapigana miti munionyeshe na mieJF ni imekuwa kichaka cha watu wasiojielewa, hasa wanawake wanaojiuza na wenzao wanunuaji.
Huwezi kuweka topic yenye mantiki ikachangiwa maana wengi wala hawaelewi kinachoendelea wanawaza tu kupigana miti na kutafuta likes.
Shenzistan.
NaamSisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao).
Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).
Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.
Hili jambo nime observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.
Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).
Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.
Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.
Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.
Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).
Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.
Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.
Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.
Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.
NONSENSE.
Safi sana brother. Sijui mimi unaniweka kundi gani brother. Ila kuna thread humu huwa ninazipita kama sizioni. Zinakera. Kweli ni za kijinga tena sana.Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao).
Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).
Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.
Hili jambo nime observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.
Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).
Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.
Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.
Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.
Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).
Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.
Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.
Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.
Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.
NONSENSE.
Huwa inaboa issue critical watu huwa wana skip ila ufala ndio unashabikiwaSafi sana brother. Sijui mimi unaniweka kundi gani brother. Ila kuna thread humu huwa ninazipita kama sizioni. Zinakera. Kweli ni za kijinga tena sana.