Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Na wewe ndo chairperson sijui basi tafurani

Yaani wangeeka option ya kuchagua majukwaa ingependeza
Ipo dada
Tia block wote wanashindwa kuilisha akili, roho na nafsi yako vitu positive.

Kwenye jukwaa tia ignore
Nyuzi flani tia ignore

Simple as that..
 
😂😂

Sielewi ndugu
Humu ndani 98 sie vilaza mtusamehe
Uzi unakuta ni wa magari mf, lkn tunatokea vilaza baadhi tunakuja kupiga umbea au kubebishana.

Nyieeee 🤣🤣🤣🤣🤣
Nuksi. Yaani nyie mnatakiwa mfurushwee na kutokomea.

Mnachafua jukwaaa limejaa umburulazzzzzzzz
 
😂😂

Sielewi ndugu
Humu ndani 98 sie vilaza mtusamehe
Uzi unakuta ni wa magari mf, lkn tunatokea vilaza baadhi tunakuja kupiga umbea au kubebishana.

Nyieeee 🤣🤣🤣🤣🤣
Nuksi. Yaani nyie mnatakiwa mfurushwee na kutokomea.

Mnachafua chukwaaa limejaa umburulazzzz
 
😂😂

Sielewi ndugu
Humu ndani 98 sie vilaza mtusamehe
Uzi unakuta ni wa magari mf, lkn tunatokea vilaza baadhi tunakuja kupiga umbea au kubebishana.

Nyieeee 🤣🤣🤣🤣🤣
Jitahidini muwe mna make up na watu wanaojielewa na wenye exposure wabadilishe mindset zenyu
 
Mie sijaona tatizo. Kuna watu baada ya purukushan zao za kimaisha story za hovyo ndio raha yake muda usonge sasa tukianza kulaumiana itakuaje tena jaman eeh nje ya Jf kugumu na ndani pia kuwe kugumu. Tuvumiliane tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Jamaa baada ya kazi zao ,jion wanapita Bar, wanakunyws pombe na kuvutia sigara...... Nakuja JF kukaribisha watu Kwa pichaaa ...nisawa ..


Ila Carlos akitoka Job, akaona akale tunda kimasihara ...akaja JF kusema, Aiseee nmekula tundaa muda huu

Ni nongwa😂😂😂
 
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wacheche sana (mimi mmoja wao).

Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).

Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.

Hili jambo ni observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.


Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).

Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.

Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.

Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.

Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).

Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.

Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.

Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.

Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.

NONSENSE.
Usitufokee. Nililetwa duniani kwa sababu wazaz wangu walipendana. Kwann mm nimpende mtoto wa mama mkwe
 
Hicho kipaji wanacho wanaume wa JF pekee
Shida we huelewi sio simping hio ni jocking tu mkuuu si simping maana watu hawako serious hata mm sipogo serious maana huku watu hatujuani ndo maana ya fake id
 
Back
Top Bottom