Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Katika hizo we unafanya biashara gani?ndugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana?
Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi?
Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako, yaani pawe na muitiko mzuri wa watu.
Point nguo kali ambazo ni rahisi mtu kuvutika kwa haraka, biashara hii inafaida karibia nusu ya bei uliyonunulia, yaani ukiinunua kwa elfu 10, kuna uwezekano wa kuiuza kati ya elfu 18,000 hadi elfu 20,000.
Jambo la mwisho na la muhimu, kama wewe ni mtu wa ibada basi hakikisha unaikabidhi biashara yako kwa Mungu kila iitwapo leo, kama wewe unaamini waganga basi vivyo hivyo hakikisha unaloga kweli. Karibuni kwa mawazo.
Kuna kimoja wapo hapo lazima utakitumiaIkiwa situmii uchawi na mungu siwezi kutoboa?
Zote, niandike kingine kipi zaidi ya nilichokiandika hapo juu.Katika hizo we unafanya biashara gani?
Tupe ABC nasisi tujifunze
Kwa kiswahili ya Nairobi; Lenga = achana na/wachana nandugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana?
Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi?
Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako, yaani pawe na muitiko mzuri wa watu.
Point nguo kali ambazo ni rahisi mtu kuvutika kwa haraka, biashara hii inafaida karibia nusu ya bei uliyonunulia, yaani ukiinunua kwa elfu 10, kuna uwezekano wa kuiuza kati ya elfu 18,000 hadi elfu 20,000.
Jambo la mwisho na la muhimu, kama wewe ni mtu wa ibada basi hakikisha unaikabidhi biashara yako kwa Mungu kila iitwapo leo, kama wewe unaamini waganga basi vivyo hivyo hakikisha unaloga kweli. Karibuni kwa mawazo.
Tupo hapa.Ikiwa situmii uchawi na mungu siwezi kutoboa?
Tupo hapa.
Kipindi nafungua ofisi ukonga mombasa, akaja rafiki wa bro wangu akaniambia mdogo wangu unajua hawa watu wote unawaona hapa wanatumia vitu vyao kuvutia wateja, wewe umejipangaje? Kamwambia mejipanga kufanya biashara akasema ikabidhi biashara kwa mungu hakikisha haumuibii mungu toa fungu la kumi.
Sikutaka kumuuniza hisia zake nikamwambia poa, sijawahi kutoa fungu la kumi(tithing) tangu2017 mpaka sasa biashara ipo anasimamia dogo.
Nikatafuta nafasi kariakoo, jamaa yangu mmoja akaniambia oya hapa lazima ukapikwe, nikamuuliza ni nini hiyo? Akaniambia kwa wazee, huyu nilimjibu tu nikasema sina pesa ya kupoteza akasema sawa yangu macho.
Tupo mpaka sasa tunadunda.
Hizi stori za nishaambiwa sana, tena wengi wakisema suala la fungu la kumi wamefunga maduka wananiacha.
Huna discipline na moyo mgumu kwenye biashara hata uloge vipi na utoe fungu la kumi inakufa tena within 2 years.
Nakumbuka uzi wa Robert Heriel Mtibeli alizungumzia uzi wake waganga wanavyocheza na saikolojia yako wanakutengenezea discipline ambayo umeshindwa kujitengenezea mwenyewe.
muombe Mungu vizuriHili wazo mm ninalo Tayari. Mke wangu ajiandae kuuza nguo za watoto , chupi, sindilia etc.. Ee Mungu nisaidie
Tupo hapa.
Kipindi nafungua ofisi ukonga mombasa, akaja rafiki wa bro wangu akaniambia mdogo wangu unajua hawa watu wote unawaona hapa wanatumia vitu vyao kuvutia wateja, wewe umejipangaje? Kamwambia mejipanga kufanya biashara akasema ikabidhi biashara kwa mungu hakikisha haumuibii mungu toa fungu la kumi.
Sikutaka kumuuniza hisia zake nikamwambia poa, sijawahi kutoa fungu la kumi(tithing) tangu2017 mpaka sasa biashara ipo anasimamia dogo.
Nikatafuta nafasi kariakoo, jamaa yangu mmoja akaniambia oya hapa lazima ukapikwe, nikamuuliza ni nini hiyo? Akaniambia kwa wazee, huyu nilimjibu tu nikasema sina pesa ya kupoteza akasema sawa yangu macho.
Tupo mpaka sasa tunadunda.
Hizi stori za nishaambiwa sana, tena wengi wakisema suala la fungu la kumi wamefunga maduka wananiacha.
Huna discipline na moyo mgumu kwenye biashara hata uloge vipi na utoe fungu la kumi inakufa tena within 2 years.
Nakumbuka uzi wa Robert Heriel Mtibeli alizungumzia uzi wake waganga wanavyocheza na saikolojia yako wanakutengenezea discipline ambayo umeshindwa kujitengenezea mwenyewe.
Check me namba yangu hioMkuu nilikucheki Pm
TawileHili wazo mm ninalo Tayari. Mke wangu ajiandae kuuza nguo za watoto , chupi, sindilia etc.. Ee Mungu nisaidie
naomba tittle ya huo uzi wa Hariel niupitie dogo hua ana madiniTupo hapa.