Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Wenzenu wanaikimbizia mars,
Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta.

Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami,
Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu.

Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha,
Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na jina ulirorithi lina laana.

Mwenzako anapambana jasho na damu kwa vitu vya kushikika ili apate mshahara, akiba na benefits,
Nyie mnapamabana jasho na damu kwa ajili ya wengine ili mpate vitu vya kufikirika peponi kutoka kwa mungu
 
Bwana weee!!!angalia tu wanavyo tukanana humu TEC na waislamu,yaani unakaa unafikiria hawa watu wananufaika nini zaidi ya kucheza mchezo wa watawala "gawanya uwatawale"ujinga ujinga to the core!yani dini ikitajwa ni kama kuna nati zinawachomoka kichwani
 
Yani ndugu yangu ni aibu sanaaaaaaa🚮🚮
 
Waarabu walishaondoka huko bado wachache na waajemi, tatizo kubwa lipo kwa weusi! Kwa anayeishi Marekani atakubaliana na mimi makanisa na hasa ya kilokole utayakuta zaidi kwa mitaa ya watu weusi kuliko weupe, na hii kote duniani!
 
Back
Top Bottom