Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

We umeolewa na mweupe na mzuri? Tafsiri ya uzuri kwako ni ipi? Kwahiyo akiwa mzuri na mweupe alafu hana hela ni sawa? Wanawake sijui mnataka nini!?
Hata hivyo wewe na huyo mwanamke mwenzio aliyepost huo upuuzi mna changamoto ya afya ya akili.
 
Unasema wanaume weusi mmewaachia wanawake! Unamaanisha nyie ni upinde au?
 
We umeolewa na mweupe na mzuri? Tafsiri ya uzuri kwako ni ipi? Kwahiyo akiwa mzuri na mweupe alafu hana hela ni sawa? Wanawake sijui mnataka nini!?
Hata hivyo wewe na huyo mwanamke mwenzio aliyepost huo upuuzi mna changamoto ya afya ya akili.
We jitu jeusi..huelewi mada
 
Acha kelele wewe, watoto wazuri si ndo hawa wako kibao Kata wanakata viuno.
We umebeba msanii huko na msambwanda wake anazaa toto la kiume tako limeumuka ka mkate boflo.
Mtoto anaringa kama mama Yake watu wanamla kiboga.
😁😁😁😁 Mkuu kwema?
 
Sasa rangi ya mtu inaingiliana vipi na ubaya au uzuri wa mtu?
Kuna wanawake weusi tii lakinni ni wazuri kuliko wanawake weupe...
 
Ila Waja wana mapovu, Rangi ya mtume yaleta kizaa zaa JF.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ woiiiiiih
 
Honestly sasa hivi wanaume weusi ndio wanaringa sana sijui wanajiona ni kina nani, binafsi nawakubali sana wanaume weupe hizo sifa nyingine hazihusiani na rangi ni hulka tu ya mtu, siku hizi kuna wanaume weusi wengi walamba lips na mashoga tofauti na ilivyoaminika zamani kwamba wengi ni weupe tu
 
Dear em specify, weusi upi? Ni yule aliye mrefu, mwembamba, smart na mtanashati, hawa ndio wanaringa, hao wengine walaaa
Ni wa kuhurumiwa tyuuh, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…