Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

Mwanaume anakuaje mzuri?! Nadhani haya mambo ya uzuri ama ubaya tuwaachie watoto wa kike.
 
Mwanaume anakuaje mzuri?! Nadhani haya mambo ya uzuri ama ubaya tuwaachie watoto wa kike.
Hii ni mental-disorder ya kishetani..hata mashetani wanapenda vitu vibaya..ndio maana wanasura mbaya mara wanakaa chooni..na mshukuru Mungu mimi ni mwanaume mweupe handsome,msomi na anayejua kutafuta pesa ila sipendi uchafu.
 
Unapimaje uzur sasa maana kila mtu ana namna yake ya kuona uzuri.
 
kuzaa sio lazima mtu aolewe,aseme kataa ndoa.
 
Wanapenda black⚫ men lakini wakipata watoto black⚫ hawapendezwi na rangi hiyo ya ⚫
 
Unapimaje uzur sasa maana kila mtu ana namna yake ya kuona uzuri.
Hii mambo ya kusema kila mtu ni mzuri kwa nafasi yake ni kauli tu za kujifariji na kujipa matumaini lakini ukweli ni kwamba kuna watu wazuri na wabaya wa sura na umbo.
Hata biblia imemtambua cleopatra kama mwanamke mzuri hajapata kutokea na Yusuph,Daudi n.k kama wanaume wazuri..
 
Wanapenda black⚫ men lakini wakipata watoto black⚫ hawapendezwi na rangi hiyo ya ⚫
Hapo ndio utajua wanawake wa kiafrika ni wanafiki na wachawi kwasababu anakiponda kwasababu ya kutokujiamini anapokuwa na mwanaume mweupe,na wanaume weupe hatunyenyekei wanawake wala hatupendi mapenzi,mwanamke anamtaka yule mwanaume ambaye yupo kama ubwa kwake,nadhani ushamuonaga mbwa kwenye hizo mambo,sasa wanaume weusi wanatabia kama za ubwa kwa wanawake kwasababu yakutojiamini na pia by nature ni sexual machines(IQ ndogo)
 
Unanichamba tenaaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie nimesema tyuuh. Lol
 
Tofautisha warembo na wazur mkuu. Kila mtu anaona uzur kwa mtizamo wake ila warembo kila mtu anaweza kumuona.
 
Unakuta mwanamke kaolewa na jamaa baya huku anataka azae watoto pisi kali, huo uzuri utatoka wapi kama si kuzaa makatuni tu?
 
Unaweza ukawa sawa mkuu. Binafisi kila mwanamke ninaye date naye huwa ananiambia nizae nae na mara akisema tu hivyo ndo naishia hapo.....

Mpaka sasa nina watoto 3 nje ambao sikutaka kabisa njee ila Imetokea tu na wote nina wasiwasi walinitegeshea!! Wawili kati yao nimesex nao mara1 katika mazingira ambayo ni ya ghafla.

Mmoja ndo nilidumu nae kwa muda mrefu hata aliposema nina mimba yako sikupinga!
 
Hakikisha mwanamke akiwa mjamzito anazingatia lishe bora ,mazoezi na kufanya mambo mazuri,hata kijacho atakuwa poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…