uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl
Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele
Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja suala la mechi za kimataifa wahakikishe wanakuwa wamoja kushirikishana mbinu hii itawasaidia kufika mbali zaidi na labda kucheza final