Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl
Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele
Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja suala la mechi za kimataifa wahakikishe wanakuwa wamoja kushirikishana mbinu hii itawasaidia kufika mbali zaidi na labda kucheza final
View attachment 2956977View attachment 2956979
Yanga sc inahitaji nyongeza ya wachezaji 6 wenye ujuzi wa Mpira na akili za kufunga ama kulitafuta goli kwakukosekana wachezaji hao Ndiyo mana kocha alitumia mbinu ya kuzuiaSwali:
Naomba udadavue ni kwa namna gani kukosekana kwa umoja na ushirikiano ndicho kilichokwamisha timu zetu zisivuke nusu fainali?
Maana Yanga wametolewa kwa case mbili au tatu na hazihusiani na ushirikiano.
1) ratiba ya derby dhidi ya Azam kuwepo tarehe 17 kumetengeneza uwepo wa majeruhi 2 key players.
2) pamoja na sababu namba 1 hapo juu kutokea, ila kocha hakuwa na tabu katika kuwaamini wachezaji wake katika mbinu na ufundi ya namna gani wanawatoa Mamelodi kitu ambacho nakiona kocha na wachezaji walifanikiwa kwa asilimia mia moja kwanini?
Kwasababu waliweza kuzuia kutoruhusu goli na pia waliweza kupata goli la ugenini ambalo kwa bahati mbaya wamenyimwa.
Upsnde wa Simba wao wamekuwa na changamoto ya kikosi chao na ndio wame struggle dhidi ya Al Ahly japo kuna angle wanafanana na Yanga kwamba hakuna straika wa maana kwa hizi timu mbili.
Sina mifano hai kwenye nchi zilizofanikiwa kwenye mpira wa miguu ni matokeo ya vilabu kushirikiana, kuna vilabu vina uhasama hadi wa kuuziana wachezaji.
Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl
Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele
Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja suala la mechi za kimataifa wahakikishe wanakuwa wamoja kushirikishana mbinu hii itawasaidia kufika mbali zaidi na labda kucheza final
View attachment 2956977View attachment 2956979
Yanga imejitahidi snaa na imeonesha UKOMAVU. SSC ni timu la matapeli hata kushirikiana nalo ni kama kujitia nuksi
Timu haina future wala dira. Ipo mwaka Yanga atacheza nusu na sio SSC.