Ukitaka mwanaume sasa hivi ili akukubali lazima utoe kiingilio

Ukitaka mwanaume sasa hivi ili akukubali lazima utoe kiingilio

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi.

So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
 
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili nawewe nikianza kutoa zangu ujue ni zakudumu.
Nitakutunza mpaka ufurahi.

So ukitaka mpenzi dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Sisi wa mkoani mlisema hamtutaki eeh?
 
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili nawewe nikianza kutoa zangu ujue ni zakudumu.
Nitakutunza mpaka ufurahi.

So ukitaka mpenzi dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Muishi nao hivyo hivyo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom