Ukitaka mwanaume sasa hivi ili akukubali lazima utoe kiingilio

Ukitaka mwanaume sasa hivi ili akukubali lazima utoe kiingilio

Kijana tulia mzee baba huyo jamaa anakazi nzuri sana hapa bongo .
Gari zipo zakutosha .
Sasa ukitaka utunzwe kiingilio ni 35,000tsh hutaki basi achana naye.

Hapa sisi sio mafala eti maisha tunayajua tumeyapitia huyo hana nia ya uombaji huyo ni mziba riziki hapa town.

Hao masharobaro mnao wadis kwetu wanatusindikiza kupaka rangi, hawana kitu ila unaenjoy penzi akiwa nacho wajua hakuwekei vipingamizi .

Hao masharo unawadis ni wazuri kinyama tena ukimpata anayekupenda , wanaheshima sana.
Sanaaa.
Oyooo maisha sio ya kukariri ingia mdani yake uone mchezoo.
Mwanaume akiona hata bar mpya imefunguliwa atakupeleka.
Akiona umekwama atakuwa karibu nawewe nakukufariji na hata hela tunayoidiscuss hapa kama anayo basi walahi atakupa.

Kuna majaaa mie nimeona tu wavaa suti mmh wanavijisheria hovyoo ni inahusika
Kumbe unadate na masharobaro ss unalalamika nin?,hio ndio gharama ya kuwapenda
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi.

So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Wanaume wapo mikoa mingine Dar hakuna wanaume
 
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi.

So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Utakuwa umekutana na sampuli ya watu kama James Delicious bila shaka, ambao kimsingi ni wa jinsia yako tu!
 
Muache ku generalize issues. Umeombwa ela na huyo bwana wako anayepaka lipstick [emoji168] mdomoni na design ya vibwana vyenye akili ya kumsindikiza demu wake Mwenge kupaka rangi kucha halafu umekuja hapa kuandika wanaume wa Dar.. as if ni wote au % kubwa. Kama umeshaombwa hela na mwanaume zaidi ya mmoja inaonekana wewe ndo mwenye matatizo.

Wanaume wapambanaji huwataki ila unashobokea mabrazamen wanaoshinda Instagram na huku mfukoni hawana kitu Ili mradi wanaonekana smart 24/7 unawababaikia tu. Nakuhakikishia hakuna mwanaume mpambanaji wa ofisini aliyeajiriwa wala mjasiriamali - mfanyabiashara wa mkoa wowote mwenye akili ya kuongea hiyo sentensi uliyosema huku akikuomba ela.

Kwa ushauri mwanaume yeyote anayekuomba ela akaacha washikaji zake woote ,wakamnyima ela (kumpa au kumkopesha) na ukabakia wewe kama option yake ya mwisho hakufai kabisaa. Block namba halafu ifute utanishukuru baadae.
Yani una roho mbaya usiwastue ww waache tu tuwachune sisi machekbob
 
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi.

So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Vyuo na Shule vifunguliwe mapema
 
Back
Top Bottom