Muache ku generalize issues. Umeombwa ela na huyo bwana wako anayepaka lipstick đź’„ mdomoni na design ya vibwana vyenye akili ya kumsindikiza demu wake Mwenge kupaka rangi kucha halafu umekuja hapa kuandika wanaume wa Dar.. as if ni wote au % kubwa. Kama umeshaombwa hela na mwanaume zaidi ya mmoja inaonekana wewe ndo mwenye matatizo.
Wanaume wapambanaji huwataki ila unashobokea mabrazamen wanaoshinda Instagram na huku mfukoni hawana kitu Ili mradi wanaonekana smart 24/7 unawababaikia tu. Nakuhakikishia hakuna mwanaume mpambanaji wa ofisini aliyeajiriwa wala mjasiriamali - mfanyabiashara wa mkoa wowote mwenye akili ya kuongea hiyo sentensi uliyosema huku akikuomba ela.
Kwa ushauri mwanaume yeyote anayekuomba ela akaacha washikaji zake woote ,wakamnyima ela (kumpa au kumkopesha) na ukabakia wewe kama option yake ya mwisho hakufai kabisaa. Block namba halafu ifute utanishukuru baadae.