Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

Kwanza nikukumbushe hakuna kiwango cha Mali ambacho mtu kinaweza kumkidhi akipatwa na mapito! Kuhusu yadunia hayo tuyaweke kando hapa tunashauliana kwenye hali ya kawaida! Yani tofauti yamawazo ya matajiri na masikini.
Rekebisha hiyo kauli yako, una maana gani kusema hakuna kiwango cha kumtosha mtu anapopatwa na mapito ndgu!?

We akiba yako ni laki 2, umeumwa unaihitaji laki 2 ujitibie. Utasemaje hakuna kiwango ilhali gharama zinajulikana ndgu?

Na kama umeelewa nilichomaanisha ni kutonanga wasiofanikiwa.
 
Kabla hatujabumba kitu Nadhalia kwanza hufikiliwa kisha tunaingia maabara kutoka na kitu... Sasa hapa vijana tunawapa nadhalia ili wasipoteze muda mwingi kutafuta njia na wakati mwingine hata njia isipatikane uzee ukamkuta
Mimi siwezi kujisemea ntaonekana najigamba kwa ukwasi nilionao na niseme tu ukwasi sina kivilee ila kwamajaribio ya sampuli zamwanzo majibu yake yanashangaza! Yani nirahisi mno!

Mkuu wazaramo walipokutana na wakinga walisema "Mtu mwema zaidi ni yule anaezuia usianguke, na sio yule anayesubiri uanguke ili akuokote."

Weka mifano halisia miwili au mitatu,, unaposaidia watu usiangalie watakuonaje Mkuu ilihali humu hakuna anayekufahamu...

Muhimu ni watu lazima wajifunze kwa waliofanikiwa....
 
Mtu anakupa plan za kupata hela lakini ukiangalia koti alilovaa ni kama limelala Yombo
 
Back
Top Bottom