Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Rekebisha hiyo kauli yako, una maana gani kusema hakuna kiwango cha kumtosha mtu anapopatwa na mapito ndgu!?Kwanza nikukumbushe hakuna kiwango cha Mali ambacho mtu kinaweza kumkidhi akipatwa na mapito! Kuhusu yadunia hayo tuyaweke kando hapa tunashauliana kwenye hali ya kawaida! Yani tofauti yamawazo ya matajiri na masikini.
Kabla hatujabumba kitu Nadhalia kwanza hufikiliwa kisha tunaingia maabara kutoka na kitu... Sasa hapa vijana tunawapa nadhalia ili wasipoteze muda mwingi kutafuta njia na wakati mwingine hata njia isipatikane uzee ukamkuta
Mimi siwezi kujisemea ntaonekana najigamba kwa ukwasi nilionao na niseme tu ukwasi sina kivilee ila kwamajaribio ya sampuli zamwanzo majibu yake yanashangaza! Yani nirahisi mno!