Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!
Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!
Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hamjaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!