Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM

Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa

Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao

Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!

Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!

Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!

Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hamjaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!

Ukweli wa kufoji PhD?. Mpaka leo Saanane kapotea. Yule alikuwa muuaji
 
PHD original unazitoa wewe sio! Mbona Mbowe hapotei wanapotea wapembeni yake tu! Anzia kwa chacha mpaka Lisu ongeza na huyo ben. Jichunguzeni nyoka yupo ndani sio nje…

Acha upotoshaji. Huyu Mbowe aliyebomolewa shamba lake apate nguvu ya kuua watu. Juzi hapa kaajiri walinzi kesho yake kapata kesi ya ugaidi. Tuache uongo tuongee ukweli. Magufuli was a killer and that's why he was also killed.
 
Hatuongei na vilaza wafoji vyeti kama wewe! Utasema nini mjinga wewe? Kajielimishe kwanza
 
Utakubali kwamba Wewe ni vyeti feki..?

Mmelitia hasara kubwa sana taifa hili, mlikuwa mkifanyia watu oppression ya vichwa badala ya mguu? Pumbavu kabisa!

Acha kujificha kwenye vyeti feki. Kama Magufuli alikuwa serious na vyeti feki na mkweli mbona hakuingia jeshini na polisi?. Tuache uongo. Angekuwa mkweli angewashughulikia akina makonda.
 
Ukweli wa kufoji PhD?. Mpaka leo Saanane kapotea. Yule alikuwa muuaji
Ulisoma gazeti la aliyekuwa mbunge wa ubungo kilaza wewe? Lilisema, Sa8 Mara ya mwisho na akapitea, alionekana kwenye ofsi za kiongozi wenu
 
Acha kujificha kwenye vyeti feki. Kama Magufuli alikuwa serious na vyeti feki na mkweli mbona hakuingia jeshini na polisi?. Tuache uongo. Angekuwa mkweli angewashughulikia akina makonda.
Unajua unauma sana Kwambiwa ukweli kwamba wewe ni fojale!?
 
..nakubaliana na wewe.

..MUUAJI ana madhara makubwa kuliko mwizi wa cheti.

..tatizo la Magufuli ni kushindwa kujitenganisha na mauaji, ukatili, na utekaji, wakati wa utawala wake.
Hayo yote ni mabaya na katika hayo mabaya hayalalishi watu kughushi nyaraka halali na kujipatia kipato kupitia nyaraka hizo
 
Wewe ndio hayawani mjaa laana. Unajua maana ya vyeti feki?. Au unaongea. Mtu humjui unadakia vyeti feki. Kama una vyeti feki Ni wewe shetani mkubwa usie na haya.
Machungu ya kuambiwa ukweli hayo, kilaza wewe!

Kajiendeleze, kuna zile shule za watu wazima nenda!
 
Ulisoma gazeti la aliyekuwa mbunge wa ubungo kilaza wewe? Lilisema, Sa8 Mara ya mwisho na akapitea, alionekana kwenye ofsi za kiongozi wenu

Hayawani mkubwa wewe mjaa laana, kiongozi wenu ndio Nani?. Leo ndio unaona gazeti la kubenea linaongea ukweli?. Mumuue Saanane wenyewe halafu msingizie wengine. Ndio maana mnakufa vifo vya aibu. Unaoza kabla hujafa. Muuaji mkuu hatimaye akafa kwa kujificha. Damu ya mtu haiendi bure.
 
..alikuwa muongo muongo.

..kwa mfano hakuwahi kueleza kwamba ana " moyo wa betri. "

..badala yake alikuwa anapiga push ups kwenye majukwaa ili kutuhadaa kwamba yuko imara kiafya.
Nimecheka kama ni mazuri[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayawani mkubwa wewe mjaa laana, kiongozi wenu ndio Nani?. Leo ndio unaona gazeti la kubenea linaongea ukweli?. Mumuue Saanane wenyewe halafu msingizie wengine. Ndio maana mnakufa vifo vya aibu. Unaoza kabla hujafa. Muuaji mkuu hatimaye akafa kwa kujificha. Damu ya mtu haiendi bure.
Hasira za mtu mjinga na mfoji vyeti, havibadili ukweli wa mambo kuwa, gazeti lenu ndilo lilisema hivyo,

Kuna mengi tu yenye ukweli mfano wa hayo, kuna mtu aliitwa chacha wangwe, pumbavu zenu mnanyanga watu halafu unaleta ujuaji hapa?
 
Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!
Kulikuwa na shida ya double standards
1. Kuna waliokuwa na vyeti feki hawakuguswa, ingawa wengi walipaza sauti - Bashite!
2. Waliohusika na kula ruswa kuingiza watu feki kwenye mifumo ya elimu na ajira hawakushughulikiwa!
3. Propaganda za kuwindwa na mabeberu kutwa kucha, ikiwemo covid;
4. Mtu kapigwa risasi mchana kweupe mpaka leo hakuna mtuhumiwa hata mmoja!

Ukisema ukweli, useme ukweli kiuhalisia, si kauli za kitatanishi chini ya mwamvuli wa "msema kweli ni mpenzi wa Mungu..."
 
Uchunguzi huanzia mahali penye chanzo cha tukio
 
Unajua unauma sana Kwambiwa ukweli kwamba wewe ni fojale!?

Ndio ulichobakiza hicho , kujificha kwenye kuita wengine vyeti feki kisa uongo wako. From nowhere unamwita mtu vyeti feki kisa na mkasa kakupinga uongo wako?. Acha utoto, Kama wewe ni vyeti feki basi usidhani kila mtu ni vyeti feki.
 
Hasira za mtu mjinga na mfoji vyeti, havibadili ukweli wa mambo kuwa, gazeti lenu ndilo lilisema hivyo,

Kuna mengi tu yenye ukweli mfano wa hayo, kuna mtu aliitwa chacha wangwe, pumbavu zenu mnanyanga watu halafu unaleta ujuaji hapa?

Kukuita hayawani na shetani ni hasira? Hiyo ni stahiki yako. Maana hayawani ni mtu asiyekuwa na adabu, unawezaje kuamka asubuhi na kumtukana mtu ambaye humfahamu kisa tu kapinga uongo wako?. Wewe una vyeti feki halafu unamuita mtu usiyemfahamu kwamba ana vyeti feki, wewe ni hayawani. Siwezi kuwa na hasira kwa mtu hayawani usiye na hoja Bali kutukana wengine nakujiona wa maana kuliko wengine.
 
Hasira za mtu mjinga na mfoji vyeti, havibadili ukweli wa mambo kuwa, gazeti lenu ndilo lilisema hivyo,

Kuna mengi tu yenye ukweli mfano wa hayo, kuna mtu aliitwa chacha wangwe, pumbavu zenu mnanyanga watu halafu unaleta ujuaji hapa?

Endelea na uongo wenu maana ndio mlichobakiza. Kama chadema ingehusika kila mtu angejua na ndio ungekuwa mwisho wa CHADEMA. Mtu kuajili walinzi ikawa kesi mpaka ugaidi.

Yani Mbowe huyu aliyekuwa na mfululizo wa kesi za michongo ndio afanye hayo si angewekwa wazi, Kama kesi ya ugaidi alivyotangazwa na Rais wenu kuwa ni gaidi.
 
Back
Top Bottom