Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM

Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa

Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao

Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!

Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!

Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!

Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hamjaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!
JP ndio alikuwa mpumbavu wa karne
 
Umejiandikia tu ki form four felia!

Toa uthibitisho juu ya gas
Mtu ambaye huna uwezo wa hata kuandika sentensi tu za Kiswahili, utakuwa na nini kichwani cha maana? Upeo na uwezo wako wa ufahamu sidhani kama unaweza kuzidi wa mtoto wa darasa la 4 aliye na akili na aliyefundishwa vizuri:

wanamachungu = wana machungu

kuongeza marifa = kuongeza maarifa

wanahasira naye = wana hasira naye

alivyomweupe = alivyo mweupe

leteni mabadiriko = leteni mabadiliko

kubadirisha hali = kubadilisha hali

kubadiri mapenzi = kubadili mapenzi

Poor writing or presentation implies poor organized mind.

Mwaka 2019, marehemu baada ya kuvurunda kwenye gas, alituma timu Msumbiji ikiongozwa na mwanasheria mkuu kwenda kuwabembeleza wawekezaji wa gas waliondoka Tanzania warudi Tanzania, lakini kwa wajinga wa hapa nchini kwetu aliendelea kuwadanganya kuwa gas imeuzwa.
 
Back
Top Bottom