Ukitaka uheshimike zaidi na Mwanamke kama wewe ni Mwanaume usimsikilize

Dah kumbe ulikuwa segerea welcome back man!
Yeah man, nilipigwa kifungo kimoja bujalabu sana hawa Mods hawatanii wakikuamulia unaweza ukapigwa mvua hata ya Mwaka na zaidi
 
Wewe ni mtu wa kwanza duniani kumuelewa mwanamke
Sure kabisa mkuu, wanasema usimchunguze bata ila nikasema hapana wanaosema hivyo hawajui kitu ngoja mimi niingie field nimekuja na ugunduzi nimewasanua wanaume akili kichwani
 
Huwezi kunielewa nilichomaanisha yaan hutonielewa na hutonielewa kamwe ninachomaanisha ila nimefanyia research ya kutosha ndio nikaja kuandika uzi sijakurupuka from no where
Nasikitika research yako umeifanya out of anger.Kuna mwamke mmoja kakuudhi ukaamua kugeneralize.Nenda kasome three Suitors One Husband tukutane na mdada mmoja aliyeiambia jamii yake hii ni nyeusi na sio nyeupe mwanzo mwisho hadi wakaomba poh
 
Hii nadhani hua iko hivi, watu tuna tabia ya kumpa attention sana yule mtu ambae haonyeshi kabisa kujali kuhusu sisi. Lengo likiwa ni kutaka kujua ana nini cha zaidi mpaka hazingatii kabisa kuhusu sisi/mimi wakati sisi ndo bora zaidi (kama ilivyo kawaida watu kuamini wao ni bora kuzidi wengine).

Kwaio ikitokea ukaweza kumwonyesha mtu kua hujali na huitaji kujua chochote kuhusu yeye, basi kuna uwezekano yeye akajali zaidi kuhusu wewe katika kutaka kujua una nini cha zaidi.

Kwaio kama ukifanikiwa pia kumfanya huyo mtu asijue chochote kuhusu wewe, utaendelea kuchukua attention yake siku zote
 
Utaratibu unaotumika kwenye ndoa A ukiutumia ndoa B Wenda ukaleta maafa. Kila mtu ana namna yake ya kushughulikia vitu kwenye familia yake.
 


Kichwa cha Habari ni sahihi, justification ya kwenye maelezo ni upumbavu!
 
Nimekwambia usimsikilize fanya na timiza majukumu yako ila usimsikilize wewe fanya tofauti na anachokwambia akikwambia ulete mbuzi wewe leta ng'ombe hapo utaheshimika vibaya mno

Wewe kweli akili huna, kwa hiyo Akisema umpeleke hospital wewe mkeo utampeleka kidimbwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…