Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikitika research yako umeifanya out of anger.Kuna mwamke mmoja kakuudhi ukaamua kugeneralize.Nenda kasome three Suitors One Husband tukutane na mdada mmoja aliyeiambia jamii yake hii ni nyeusi na sio nyeupe mwanzo mwisho hadi wakaomba pohHuwezi kunielewa nilichomaanisha yaan hutonielewa na hutonielewa kamwe ninachomaanisha ila nimefanyia research ya kutosha ndio nikaja kuandika uzi sijakurupuka from no where
Sina haja ya salamu.
Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye vile yaan vice versa is true kwa hio anaweza akakwambia umpe limao kumbe mwenzako anataka umpe ndimu. Sasa ukijichanganya ukafanya hivyo ukachukua limao ukampa sahau kuhusu kuheshimika na yeye.
Ni wewe na akili zako. Sasa akikwambia anataka hivi na wewe ukafanya vile vile anavyokwambia wewe jiandae kudharauliwa utadharauliwa vibaya sana mpaka ujute kuzaliwa. Mwanamke anamuheshimu zaidi mwanaume asiemsikiliza anamuheshimu zaidi Mwanaume anaefanya tofauti na anavyomwambia.
Yaan Mwanaume anaambiwa kitu hiki ila yeye anafanya kitu kingine huyo ndio Mwanamke anamuheshimu zaidi. Akili kichwani mwako. Sasa ukifanya vile anavyokwambia ufanye na wewe ukafanya vile vile anavyokwambia jiandae kupoteza heshima yako.
Nazungumzia kuheshimika sio kupendwa. Unaweza uheshimike ila usipendwe au ukapoteza vyote kwa pamoja kwa hio unapochukua maamuzi jiandae kwa lolote.
Nimekwambia usimsikilize fanya na timiza majukumu yako ila usimsikilize wewe fanya tofauti na anachokwambia akikwambia ulete mbuzi wewe leta ng'ombe hapo utaheshimika vibaya mno