mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
umesema kwa kukwepesha ila muhuni nimeelewa 😂I didnt say that [emoji2368] wapi nimesema unacho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesema kwa kukwepesha ila muhuni nimeelewa 😂I didnt say that [emoji2368] wapi nimesema unacho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliosoma Cuba au sio [emoji1787]...imeisha hiyoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]umesema kwa kukwepesha ila muhuni nimeelewa [emoji23]
Upi huo mkuuIbrahim aliyekuwa Rafiki wa Mungu Kwa mujibu wa Biblia, aliongea Uongo.
Sasa utasali kumshinda Ibrahim?
enewei, sijayaweka moyoni 😅Tuliosoma Cuba au sio [emoji1787]...imeisha hiyoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utaumiaenewei, sijayaweka moyoni [emoji28]
Dada mi nakibamia ebu njoo PM tuongee vzrTuliosoma Cuba au sio [emoji1787]...imeisha hiyoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Relax [emoji1787][emoji1787]Dada mi nakibamia ebu njoo PM tuongee vzr
Ikiwa hamaanishi kwa anachokuambia lengo ni kuichota akili yako itakuwaje na wewe umekariri tu hisia.😂😂😂
Wanawake hawapendi kubishiwa kile wanachokisema, wanaona kama unawadharau na kuwaona Hawana uwezo wa kufikiri. Ukitaka Mkeo akushinde au ugombane na Mama yako mbishie anachokueleza hata Kwa facts. Mtakuwa na mahusiano yasiyo ridhisha.
Mwanamke akisema Jambo mkubalie, kisha ongezea ushauri wako Kwa juu kama nyongeza, na sio umwambie hapana sio hivyo,😂😂 mwambie ananawazo mazuri Sana, alafu sema Kwa kuongezea blah blah blah! Alafu mkumbatie umwambie yeye kweli ni jike
😀😀😀 nacheka kama mazuri, nikuhakikishie haitakuwa hivyo,,Mimi kwangu ni ngumu kumwambia mtu uongo,,hata kama nikitaka kuoa ntamwambia uhalisia wa maisha yangu,, kama akilidhia kuwa na mimi sawa!!
Maana nikisema ukweli huwa nakuwa huru saaana ,,sipendi kuishi maisha ya kufeki
Anajijua sio mzuri ila ukimsifia tu anavimba bichwa
Au umwambie mi mganga njaa ila nakupenda utasikia asante au we mi sio typ yako tena unikome.
Ila azima gari afu umuibukie au umwambie mi ni mkubwa flani kitengo flani huyo keshajaa.
Ukiwa mkweli kwa hawa viumbe humpati hata 1.
KIASILI MWANAMKE AMEUMBWA KWA AJILI YA KUTWENDWA mengine yote tunalazimisha afit kwenye hamna
NDIO MAANA KRISTO HAKUOA MKEAnaandika, Robert Heriel
Yaani ukitaka kugombana na Wanawake wengi, wewe waambie ukweli. Wanawake ni viumbe ambavyo havitaki Ukweli. Hii ni Kutokana na kuendesha na Hisia. Kikawaida Hisia hazihitaji Uhalisia/ukweli.
Na sio Wanawake tuu hata baadhi ya wanaume wanaotumia hisia hawapendi Ukweli. Wanadai ukweli unaumiza, lakini unaumiza nini? Jibu ni kuwa unaumiza Hisia. Ukweli hauumizi Akili, kwani Akili inapenda vitu vyenye Logic, mantiki ambavyo vingi ni ukweli, uhalisia.
Wanawake wenyewe wanajuana kuwa wanaendeshwa na mihemko, hivyo kama ni marafiki watakachokuwa wanajaribu kulinda urafiki wao NI kuhakikisha wanaridhisha hisia za marafiki zao. Ni ngumu Sana marafiki wa kike kuambiana ukweli. Na ikiwa mmoja atamuambia mwenzake ukweli basi itaonekana anamuonea Wivu. Hivyo ndivyo Saikolojia Yao ilivyo.
Mwanamke ni akheri umdanganye ili afurahi kuliko amwambie ukweli. Wanawake wengi ndio wako hivyo. Ukweli kwao ni kizungumkuti.
Malezi ya Binti WA kike yanahitaji umakini na utulivu mkubwa. Baba au Mama unapomlea Binti yako ni lazima ucheze na Saikolojia yake. Malezi ya Binti yako ni tofauti kabisa na malezi ya kijana wako wakiume. Nazungumzia kwenye umri wa balehe.
Elewa kuwa Mwanamke anapokuambia au kushauri Jambo atatoa maelezo kulingana na hisia zake juu ya kitu hicho. Mfano, kama Mwanamke hakupendi na akaambiwa atoe maelezo kukuhusu basi atatoa Maoni yanayolenga kukukera, kukuumiza, na kukupa uchungu.
Ni rahisi kujua uelekeo wa hisia za Mwanamke Kwa MTU Fulani, kujua anampenda au hampendi, kujua anawivu naye au chuki au laah!
Taikon hashauri Mwanamke kuwa msingi Mkuu wa kukushauri mambo nyeti Kutokana na kuwa Wao wengi wao hawayachukulii mambo katika msingi WA uhalisia Bali huyachukulia mambo katika msingi WA hisia za Wakati huo.
Mwanamke au mtu yeyote anayeendeshaa na mihemko aongeapo wala usimchukulie Serious Kwa sababu anavyoongea mara nyingi hamaanishi uhalisia wa kile akisemacho, Bali anazungumzia hisia zake tuu. Jambo ambalo Leo ni hivi kesho ni vile Jambo ambalo linawafanya wawe vigeugeu wasio na msimamo.
Ukitaka kupendwa na Wanawake wengi Duniani itakupasa uwe Mnafiki, na msema uongouongo ili kuzichota hisia zao. Kamwe usithubutu kusema Ukweli uwapo katika USO WA Mwanamke ikiwa unataka kupendwa na Mwanamke.
Moja ya Kanuni tulizozitumia enzi hizo tunajifunza kutongoza Wanawake ilikuwa kuwaambia Uongo unaopatana na hisia zao. Hivyo ndio Njia nyepesi ya kupendwa na Wanawake.
Wanawake wakifanya upuuzi wasifie au usiwe na habari nao, watakupenda. Ingawaje wapo Wanawake Wachache ambao hao NI kama miujiza na maajabu ambao hutumia Akili, hawa ni exceptional.
Mwanamke hata kama hajapendeza mwambie umependeza, hata kama havutii mwambie anakuacha Hoi.
Kujiamini Kwa Wanawake wengi halipo katika mantiki/Akili Bali katika hisia ambazo hutegemea anasikia nini Kutoka Kwa Watu.
Ndivyo tunavyomaliza Wikiendi Hii.
Ni Yule Mtibeli.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
NDIO MAANA KRISTO HAKUOA MKE
Hawanaga akiliWengi wana uwezo wa kuujua ukweli lakini sio wote wanaopenda kuufata.
Kwa mfano
Kwenye circle ya kimahusiano, mwanamke anaweza kutongozwa na wanaume tofauti tofauti.
Katika hao anaweza akamuona mwanaume ambaye anajua kabisa mwanaume huyu ni husband material.
Mwanaume ambaye ana ambitions za kimaisha (husler) anayeweza kujenga naye maisha.
Lakini mwanamke akaamua kuachana naye kwasababu ya vitu vidogo tu kama muonekano (marafiki zake watamuonaje) au ni mtu fulani hivi ambaye hajichanganyi kwenye viwanja vya starehe ambapo huko anaweza kuvimbiana na marafiki zake (showoffs)
Halafu akaenda kujenga mahusiano na mwanaume mwingine ambaye anafahamu kabisa kuwa huyu si muoaji, ila kwakua ni cheki bob anapiga pamba kali na kuvaa ma chain ya silver anaona sasa huyu ndio atanifaa.
Wanapenda kudanganywa na kuambiwa maneno matamu, hata kama ni upuuzi wa waziKuna uongo wa wazi kabisa unmwambia na ww unaona lkn yupo tu anajaa. 😂😂😂🙌
Atakuchukia maisha yake yote...kitu anataka kusikia ni "umependeza"...hata kama amekuwa kituko.Kuna mmoja jana nimemwambia ukivaa suruali hupendezi kwasababu ya shape ya mwili na ufupi wako ila ukivaa yale magauni ambayo sio marefu sana unapendeza.
Nilijuta sana kumwambia ivo,
Yaani mtu ashindwe kukumiliki kwasababu wewe una nini cha thamani? Maana mwanamke kitu cha thamani kwake ni uchi tu..na bahati mbaya sasa wanawake wengi uchi zao sio nzuri kama wanavyofikiria...Unakuta mwanamke kwa nje ana muonekano mzuri lakin uchi wake takataka kabisa. Halaf bado anataka umuone ana thamani ya juu!Wanaume wote mliocoment humu pamoja na mtibeli wenu acheni uongo na kujifariji,hakuna binadamu anayependa kuambiwa Ukweli si mwanaume Wala si mwanamke,How?
1.Wanaume wengi mmekuwa mnakasirika pindi anapoambiwa Ukweli na Wanawake kwamba "Fulani huna uwezo wa kunimiliki kwa kuwa huna kipato Cha kukutosha wewe na kunihudumia Mimi"hili neno huwa ni chanzo cha Vita ya tatu ya Dunia...huwa hampendi kabisa kusikia huu Ukweli mnapenda kuambiwa hivi"Fulani wewe ni mpambanaji hakuna kitu unashindwa"wakati kiukweli humuwezi kweli kumgharamikia huyo mtu
2.Unakuta mwanaume mchafu,ananuka kwapa,kinywa kichafu,viatu navyo uvundo Sasa jaribu kumwambia Ukweli,hiyo utakuwa umepress kinu Cha nuclear...WW3
Kuna scenario nyingi,nachoka kuandika,Ila kung'ang'ania mwanamke ndio hapendi kusikia Ukweli Nina mashaka,mi nadhani ungesema Kuna baadhi ya binadamu either ni wa kike au wa kiume hawapendi kusikia ukweli
Muwe mnaongea Kama watu mliotoka kwenye hizo nyuchi mnazoziita hazina thamani,,uchi unaouona Leo takataka ni chanzo Cha uhai wa viumbe nyie nyie,,,Bila uchi wewe usingepata nafasi hii ya kuandika huu upupu wako Leo....tafadhali kijana heshimu sana uchi.Yaani mtu ashindwe kukumiliki kwasababu wewe una nini cha thamani? Maana mwanamke kitu cha thamani kwake ni uchi tu..na bahati mbaya sasa wanawake wengi uchi zao sio nzuri kama wanavyofikiria...Unakuta mwanamke kwa nje ana muonekano mzuri lakin uchi wake takataka kabisa. Halaf bado anataka umuone ana thamani ya juu!
Mimi nataka niambiwe ukweli tu
Sio kwa thamani unayotaka kuupa..ndo maana wanawake mtaani wanauza jero hadi bukuMuwe mnaongea Kama watu mliotoka kwenye hizo nyuchi mnazoziita hazina thamani,,uchi unaouona Leo takataka ni chanzo Cha uhai wa viumbe nyie nyie,,,Bila uchi wewe usingepata nafasi hii ya kuandika huu upupu wako Leo....tafadhali kijana heshimu sana uchi.
Rudia kusoma,halafu jitafakari Tena Kama hauna thamaniSio kwa thamani unayotaka kuupa..ndo maana wanawake mtaani wanauza jero hadi buku