Igulu Bugomola
Member
- Apr 17, 2023
- 47
- 61
Wanaume wote mliocoment humu pamoja na mtibeli wenu acheni uongo na kujifariji,hakuna binadamu anayependa kuambiwa Ukweli si mwanaume Wala si mwanamke,How?
1.Wanaume wengi mmekuwa mnakasirika pindi anapoambiwa Ukweli na Wanawake kwamba "Fulani huna uwezo wa kunimiliki kwa kuwa huna kipato Cha kukutosha wewe na kunihudumia Mimi"hili neno huwa ni chanzo cha Vita ya tatu ya Dunia...huwa hampendi kabisa kusikia huu Ukweli mnapenda kuambiwa hivi"Fulani wewe ni mpambanaji hakuna kitu unashindwa"wakati kiukweli humuwezi kweli kumgharamikia huyo mtu
2.Unakuta mwanaume mchafu,ananuka kwapa,kinywa kichafu,viatu navyo uvundo Sasa jaribu kumwambia Ukweli,hiyo utakuwa umepress kinu Cha nuclear...WW3
Kuna scenario nyingi,nachoka kuandika,Ila kung'ang'ania mwanamke ndio hapendi kusikia Ukweli Nina mashaka,mi nadhani ungesema Kuna baadhi ya binadamu either ni wa kike au wa kiume hawapendi kusikia ukweli
Mmekuwa property mnatafuta wenza wa kuwamiliki?? Thamani yenu mnaishusha wenyewe na hii inaenda mbali kwa nyinyi kukana sifa za nyinyi kuwa binadamu na huu unakuwa utumwa wa kujitakia.
Halafu harakati zetu zinapoanza mna-attack wanaume kama wanawatweza, wanawanyanyasa na kuwanyima nyenzo za kukua.
Sisemi kwa ubaya lakini kuna haja ya wanawake wengi kubadili fikra na mitazamo kulingana na ukweli wa maisha ulivyo. Matatizo mengi mnayoyapata chanzo chake kikubwa kinaanza na fikra duni na kuukwepa uhalisia aidha kwa kujua au kutokujua.