Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Ikiwa hamaanishi kwa anachokuambia lengo ni kuichota akili yako itakuwaje na wewe umekariri tu hisia.
 
Mimi kwangu ni ngumu kumwambia mtu uongo,,hata kama nikitaka kuoa ntamwambia uhalisia wa maisha yangu,, kama akilidhia kuwa na mimi sawa!!
Maana nikisema ukweli huwa nakuwa huru saaana ,,sipendi kuishi maisha ya kufeki
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nacheka kama mazuri, nikuhakikishie haitakuwa hivyo,,
 

Tena uniforme[emoji1787][emoji1787]
 
NDIO MAANA KRISTO HAKUOA MKE
 
Hawanaga akili
 
Kuna mmoja jana nimemwambia ukivaa suruali hupendezi kwasababu ya shape ya mwili na ufupi wako ila ukivaa yale magauni ambayo sio marefu sana unapendeza.

Nilijuta sana kumwambia ivo,
Atakuchukia maisha yake yote...kitu anataka kusikia ni "umependeza"...hata kama amekuwa kituko.
 
Yaani mtu ashindwe kukumiliki kwasababu wewe una nini cha thamani? Maana mwanamke kitu cha thamani kwake ni uchi tu..na bahati mbaya sasa wanawake wengi uchi zao sio nzuri kama wanavyofikiria...Unakuta mwanamke kwa nje ana muonekano mzuri lakin uchi wake takataka kabisa. Halaf bado anataka umuone ana thamani ya juu!
 
Muwe mnaongea Kama watu mliotoka kwenye hizo nyuchi mnazoziita hazina thamani,,uchi unaouona Leo takataka ni chanzo Cha uhai wa viumbe nyie nyie,,,Bila uchi wewe usingepata nafasi hii ya kuandika huu upupu wako Leo....tafadhali kijana heshimu sana uchi.
 
Sio kwa thamani unayotaka kuupa..ndo maana wanawake mtaani wanauza jero hadi buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…