Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli


Mmekuwa property mnatafuta wenza wa kuwamiliki?? Thamani yenu mnaishusha wenyewe na hii inaenda mbali kwa nyinyi kukana sifa za nyinyi kuwa binadamu na huu unakuwa utumwa wa kujitakia.

Halafu harakati zetu zinapoanza mna-attack wanaume kama wanawatweza, wanawanyanyasa na kuwanyima nyenzo za kukua.

Sisemi kwa ubaya lakini kuna haja ya wanawake wengi kubadili fikra na mitazamo kulingana na ukweli wa maisha ulivyo. Matatizo mengi mnayoyapata chanzo chake kikubwa kinaanza na fikra duni na kuukwepa uhalisia aidha kwa kujua au kutokujua.
 
Usipingane na nature bro"
Mwanaume ni provider,kiongozi na kichwa Cha familia tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.kubali kataa mwanaume anayejitambua lazima atamhudumia mke na familia yake.... Kizazi kipya ndio kinageuza mambo wanaume nao wataka kulelewa na wanawake
 

Nature imechaguwa wewe uwe property umilikiwe? zinamilikiwa nyumba, ardhi, mifugo n.k. je, na ww unataka kuingia kwenye hili kundi??
Desturi ya wanaume kutafuta chakula na mahitaji mengine ilitokana na utaratibu wa mgawanyo wa majukumu ikiwa mwanamke utabaki ndani ufue, upike, ufagie na ulee watoto (na hili sijalikataa nalikubali na hakuna sehemu nimepinga) ila ninachokataa ni wewe kusema hadharani unapaswa kumilikiwa badala ya kufikiria kuwa mwanaume sio MMILIKI wako bali ni MWENZA ambaye mmegawana majukumu kama ilivyo kulingana na mila na desturi.
 
Unaelewa maana ya kumtolea mke mahali?hebu tuanzie hapa
 
Basi tafuta wazee waulize kwanza Maana ya kumtolea mwanamke mahali ndio ufanye analysis.

Mjadala nafanya na wewe halafu wazee wanaingiaje hapa? Wanajua subject matter ya tunachozungumzia? Wanaweza vipi kuhawilisha majibu yao kwa muktadha wa hiki tunachojadili? Je, mtazamo wa mahali unaelezwa katika uwanda mmoja tu au kuna mitazamo kulingana na dini? Mila? Tofauti za kijiografia? Saikolojia??. Kaa hapa tujadiliane kwa hoja sio kukimbiakimbia
 
Naona uvivu kujadili na mtu anayenipa majibu mepesi,hajui Maana ya mahari Sasa huyo si Inabidi nianze nae Arif kabisa aaah
 
Naona uvivu kujadili na mtu anayenipa majibu mepesi,hajui Maana ya mahari Sasa huyo si Inabidi nianze nae Arif kabisa aaah
Achana nae huyo, anakupotezea muda hana mpango wa kuoa huyo

Angekuwa na mpango ange jua nn maana ya mahari
 
Kumbe na wewe umeliona hilo....all they have to offer is punani
 
Umepiga kwenye mshono mkuu [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…