Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Ah sasa wee unadhani mbususu yako peke yake inatosha? Wacha akapate ladha tofauti na style mupya. Ata wewe sii ajabu kuna kamjamaa unamsusia mbususu once in a while kupata mambo mapya. Wanawake wanaokili kuoenda mizangamuano wazi wazi watamu sana.😍😍😍😍. Hapa unachapa marimba tayari mnalishashusha round ya usubuhi usubuhi🤣🤣🤣🤣 wakati wengine tunanyetuka tuu hapa🤣🤣🤣🤣🤣
Siku hizi unanyetuka?umekumbwa na balaa gani mzee wa mbususu?🥴
 
Wengi wana uwezo wa kuujua ukweli lakini sio wote wanaopenda kuufata.

Kwa mfano

Kwenye circle ya kimahusiano, mwanamke anaweza kutongozwa na wanaume tofauti tofauti.

Katika hao anaweza akamuona mwanaume ambaye anajua kabisa mwanaume huyu ni husband material.

Mwanaume ambaye ana ambitions za kimaisha (husler) anayeweza kujenga naye maisha.

Lakini mwanamke akaamua kuachana naye kwasababu ya vitu vidogo tu kama muonekano (marafiki zake watamuonaje) au ni mtu fulani hivi ambaye hajichanganyi kwenye viwanja vya starehe ambapo huko anaweza kuvimbiana na marafiki zake (showoffs)

Halafu akaenda kujenga mahusiano na mwanaume mwingine ambaye anafahamu kabisa kuwa huyu si muoaji, ila kwakua ni cheki bob anapiga pamba kali na kuvaa ma chain ya silver anaona sasa huyu ndio atanifaa.
Umeongea ukweli ndugu.
Hii kitu pia ilinikuta,yaani wife wangu nilikuwa namtimizia basic needs zote muhimu as a husband material lakini tulikuwa tunagombana kwa sababu ya vitu vidogo vidogo sana kwa mfano kutomnunulia perfume,kutompeleka beach weekend,kutomnunulia nguo sababu kabati lake tayari limejaza nguo na hawezi kuzimaliza kwa kuzivaa.
Na kumbuka mahitaji kama ya chakula nampatia hela ya mwezi mzima ajipangie bajeti mwenyewe so nilkuwa naaasume kwamba vitu vidogo vidogo kama lotion,perfume haviwezi kumshinda kutokana na hela ya mwezi mzima niliyompatia,hela ya dharura kama medical expenses hii huwa naandaa kabla inakaa kwenye akaunti yangu.
Mimi nilikuwa natumia logic yeye anatumia hisia hapo ndipo utata ulipoanzia.
 
Baada yakuliwa tunda lauzima... basi hapo ndipo mwanamke aliondoka kwenye uhalisia saivi zimebaki copy tuu. Kwahyo kuweni makini sana.
 
Anaandika, Robert Heriel

Yaani ukitaka kugombana na Wanawake wengi, wewe waambie ukweli. Wanawake ni viumbe ambavyo havitaki Ukweli. Hii ni Kutokana na kuendesha na Hisia. Kikawaida Hisia hazihitaji Uhalisia/ukweli.
Na sio Wanawake tuu hata baadhi ya wanaume wanaotumia hisia hawapendi Ukweli. Wanadai ukweli unaumiza, lakini unaumiza nini? Jibu ni kuwa unaumiza Hisia. Ukweli hauumizi Akili, kwani Akili inapenda vitu vyenye Logic, mantiki ambavyo vingi ni ukweli, uhalisia.

Wanawake wenyewe wanajuana kuwa wanaendeshwa na mihemko, hivyo kama ni marafiki watakachokuwa wanajaribu kulinda urafiki wao NI kuhakikisha wanaridhisha hisia za marafiki zao. Ni ngumu Sana marafiki wa kike kuambiana ukweli. Na ikiwa mmoja atamuambia mwenzake ukweli basi itaonekana anamuonea Wivu. Hivyo ndivyo Saikolojia Yao ilivyo.

Mwanamke ni akheri umdanganye ili afurahi kuliko amwambie ukweli. Wanawake wengi ndio wako hivyo. Ukweli kwao ni kizungumkuti.

Malezi ya Binti WA kike yanahitaji umakini na utulivu mkubwa. Baba au Mama unapomlea Binti yako ni lazima ucheze na Saikolojia yake. Malezi ya Binti yako ni tofauti kabisa na malezi ya kijana wako wakiume. Nazungumzia kwenye umri wa balehe.

Elewa kuwa Mwanamke anapokuambia au kushauri Jambo atatoa maelezo kulingana na hisia zake juu ya kitu hicho. Mfano, kama Mwanamke hakupendi na akaambiwa atoe maelezo kukuhusu basi atatoa Maoni yanayolenga kukukera, kukuumiza, na kukupa uchungu.
Ni rahisi kujua uelekeo wa hisia za Mwanamke Kwa MTU Fulani, kujua anampenda au hampendi, kujua anawivu naye au chuki au laah!

Taikon hashauri Mwanamke kuwa msingi Mkuu wa kukushauri mambo nyeti Kutokana na kuwa Wao wengi wao hawayachukulii mambo katika msingi WA uhalisia Bali huyachukulia mambo katika msingi WA hisia za Wakati huo.

Mwanamke au mtu yeyote anayeendeshaa na mihemko aongeapo wala usimchukulie Serious Kwa sababu anavyoongea mara nyingi hamaanishi uhalisia wa kile akisemacho, Bali anazungumzia hisia zake tuu. Jambo ambalo Leo ni hivi kesho ni vile Jambo ambalo linawafanya wawe vigeugeu wasio na msimamo.

Ukitaka kupendwa na Wanawake wengi Duniani itakupasa uwe Mnafiki, na msema uongouongo ili kuzichota hisia zao. Kamwe usithubutu kusema Ukweli uwapo katika USO WA Mwanamke ikiwa unataka kupendwa na Mwanamke.

Moja ya Kanuni tulizozitumia enzi hizo tunajifunza kutongoza Wanawake ilikuwa kuwaambia Uongo unaopatana na hisia zao. Hivyo ndio Njia nyepesi ya kupendwa na Wanawake.

Wanawake wakifanya upuuzi wasifie au usiwe na habari nao, watakupenda. Ingawaje wapo Wanawake Wachache ambao hao NI kama miujiza na maajabu ambao hutumia Akili, hawa ni exceptional.

Mwanamke hata kama hajapendeza mwambie umependeza, hata kama havutii mwambie anakuacha Hoi.
Kujiamini Kwa Wanawake wengi halipo katika mantiki/Akili Bali katika hisia ambazo hutegemea anasikia nini Kutoka Kwa Watu.

Ndivyo tunavyomaliza Wikiendi Hii.
Ni Yule Mtibeli.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hivi una umri gani kijana wangu? Mbona una ujuzi wa mambo mazito mazito.
 
Back
Top Bottom