Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na emotional and intellectual intelligence ya mtu anayeambiwaHaya mambo ya kupenda kudanganywa yapo pande zote kwa wanaume na wanawake pia, hivi we mwanaune mwanamke akuchane live kuwa unanuka pumbu utafurahi, au akamwambie humfikishi kileleni utaona sawa, na atakapokwanbia una mboo kama penseli haimkuni kama ya Hassan je utacheka tu?
Halafu wanaume hatuandiki mada ndefu kama hivi ili kuwasema wanawake, ni viumbe tunaopaswa kuishi nao kwa upendo, kuwadekeza, kuwabembeleza na kuwaonyesha kuwa wao ni malkia na maua yetu. Mwanamke ni furniture lazima uipende na kuicare.
Haya mambo ya kupenda kudanganywa yapo pande zote kwa wanaume na wanawake pia, hivi we mwanaune mwanamke akuchane live kuwa unanuka pumbu utafurahi, au akamwambie humfikishi kileleni utaona sawa, na atakapokwanbia una mboo kama penseli haimkuni kama ya Hassan je utacheka tu?
Halafu wanaume hatuandiki mada ndefu kama hivi ili kuwasema wanawake, ni viumbe tunaopaswa kuishi nao kwa upendo, kuwadekeza, kuwabembeleza na kuwaonyesha kuwa wao ni malkia na maua yetu. Mwanamke ni furniture lazima uipende na kuicare.
Mmeshindwa kabisa kumuelewa mwanamke.
Mwanamke ni kiumbe kinachotaka, kinachopenda na kuuelewa ukweli wakati wote.
Hapo ndipo unaposhindwa kumuelewa mwanamke.Mnapenda kuijua, kuuelewa na kuufahamu ukweli lakini hamtaki kuufanya na kuupewa. Hapo ndio muziki ulipo.
Ni wanawake wachache ambao hawaongozwi na mihemko.
Kwahiyo unamanisha wameumbwa kupetipetiwa na kukuzwa kuzwa Kwa sifa na mbwembwe!?Hapi ndipo unaposhindwa kumuelewa mwanamke.
Mwanamke ana "instincts" tofauti na za wanaume. Ikiwa utamfikiria mwanamke kwa kutumia "instincts" za kiume, hutomuelewa mpaka kufa kwako.
Wanawake wote wana "natural instincts" za umalkia, wanaume hawana hizo.
Anza kwa kuzielewa "instincts" za umalkia utaanza kuwaelewa wanawake.
Hilo lipo wazi kaka ujakoseaMnapenda kuijua, kuuelewa na kuufahamu ukweli lakini hamtaki kuufanya na kuupewa. Hapo ndio muziki ulipo.
Ni wanawake wachache ambao hawaongozwi na mihemko.
Soma kuhusu malkia, kuanzia wa kibinaadam mpaka wa wanyama.Kwahiyo unamanisha wameumbwa kupetipetiwa na kukuzwa kuzwa Kwa sifa na mbwembwe!?
🤔🤔🤔🤔Soma kuhusu malkia, kuanzia wa kibinaadam mpaka wa wanyama.
Wana tabia za kingese sana hawa mademu ila mbususu zao bwana...ni tamuuuuuuKuna demu alishaniuliza yeye na demu mwingine nani mzuri ,nikamwambia yeye alifurahi balaa,kwa kifupi mademu wanapenda kusifiwa sana,ujipendekeze sana kwao,na uwe wafuasi wao sana,na ujipendekeze sana ndo watakufurahia kitu ambacho nimeshindwa tangu nije duniani😀😀Hadi salami demu akikukuta anataka uanze wewe kumsalimia dah si utumwa huo
Ah tena wanawake wanajua kudanganya balaaa, wanatudanganya hadi watoto mbaonako wetuVice versa is true....hata nyie mnadanganywa Sana na Wanawake na mnajaa,ukionyeshwa true colors hamtaki.... brother hii kitu ipo pande zote mbili believe me,
We kula mbususu,makasiriko yao waachie wenyeweWana tabia za kingese sana hawa mademu ila mbususu zao bwana...ni tamuuuuuu
MadaKuna demu bhn aliniuliza nimpe asilimia ngp ya uzuri wake si nikampa 75% bhn ikabidi hiyo madaa iishie hapo hapo
Msipodanganywa hamuelewi,hampendi kuambiwa ukweli....ndio maana single mother wanaficha watoto wakisema ukweli hamuwaoiAh tena wanawake wanajua kudanganya balaaa, wanatudanganya hadi watoto mbaonako wetu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni vile mmeamua kushupaza shingo,,,wewe Mwenyewe Nina uhakika kabisa hupendi kuambiwa Ukweli, lazima utaamia.....unaeza Kuta una pua kubwa,Ila ukiambia Mathias una pua mbaya sana, lazima itakuuma na wakati ni kweli una pua mbaya
Kazi ipo Kwa kweliAnatafuta likizo mapemaaa
Ahaha eti single mma wanafanya nini😲😲😲.Msipodanganywa hamuelewi,hampendi kuambiwa ukweli....ndio maana single mother wanaficha watoto wakisema ukweli hamuwaoi
Hili swala binafsi limenisumbua sana,Sasa unapataje mbususu ilhali hutaki kujipendekeza?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app