Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Siku hizi unanyetuka?umekumbwa na balaa gani mzee wa mbususu?🥴
 
Umeongea ukweli ndugu.
Hii kitu pia ilinikuta,yaani wife wangu nilikuwa namtimizia basic needs zote muhimu as a husband material lakini tulikuwa tunagombana kwa sababu ya vitu vidogo vidogo sana kwa mfano kutomnunulia perfume,kutompeleka beach weekend,kutomnunulia nguo sababu kabati lake tayari limejaza nguo na hawezi kuzimaliza kwa kuzivaa.
Na kumbuka mahitaji kama ya chakula nampatia hela ya mwezi mzima ajipangie bajeti mwenyewe so nilkuwa naaasume kwamba vitu vidogo vidogo kama lotion,perfume haviwezi kumshinda kutokana na hela ya mwezi mzima niliyompatia,hela ya dharura kama medical expenses hii huwa naandaa kabla inakaa kwenye akaunti yangu.
Mimi nilikuwa natumia logic yeye anatumia hisia hapo ndipo utata ulipoanzia.
 
Baada yakuliwa tunda lauzima... basi hapo ndipo mwanamke aliondoka kwenye uhalisia saivi zimebaki copy tuu. Kwahyo kuweni makini sana.
 
Hivi una umri gani kijana wangu? Mbona una ujuzi wa mambo mazito mazito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…