Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Kwenye youth delinquency tunasoma kwamba hua inatokea kwenye early teens teenager kutafuta mask ya kujifichia ambayo hutaka kuifanya kama identity yake.

Miongoni mwa masks wanazozipendelea ni hii ya 'rebel' hii ni kwakua wao wanaamini kua rebel is cool.

Kama utaweza watafute baada ya mwaka tangu hii video waifanye kisha observe. Tunaweza sema exposure ya social media inafanya hii mask izidi kupendwa kwakua wanaona watu ambao watadai hawajamaliza hata shule ila wana pesa.

Halafu na ule usemi wa hovyo wa tafuta pesa unachangia pia.
 
Kobazi shule sio kipaumbele chao wanawaza ngono na kuzaa tu. Baadae wanalalamika wanafelishwa na teuzi za madaraka zina upendeleo
Nyie makafiri kutwa mnamtukana Samia sababu ya Dini yake,mara kateua waislam tupu,sasa kama hawana elimu kwann wanapata teuzi? Samia kashawagundua makafiri mnaongozwa na chuki, sasa anadili na nyinyi kisawasawa bila huruma kama msivyo nyie na huruma! Kitiima and others lazima wakanyee ndoo segerea sababu ya ghasia za October 29 na mauaji!
Mtapelekewa moto vizuri TU nyie jamii yenye chuki!
 
Sana aisee, jana nimekutana na jamaa mmoja binti yake wa form 4 ametorokea kwa bodaboda, na baada ya kumbana mkewe ambaye si mama halisi wa huyo mtoto inasemekana tayari binti ana mimba.
Inasikitisha sana ,ningekuwa mzazi wa huyo binti ,huyo boda ningehakikisha anapata haki yake ya kikatiba ya miaka thalatha ili iwe fundisho kwa boda wengine na mafataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…