Kwa hapa namtetea rais.
Hili ni suala ngazi ya wazazi.
Watoto wengi wa hii dini wanaharibiwa na wazazi wao wa kike.Wanawake wa kiislamu=vijora, kucheza chura kwenye shughuli zenye mc mashoga.
Sio wote lakini maana nina ndugu vipenzi ambao ni waislamu na hawana huu ushenzi ila asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu wana tabia chafu na kwao kuiba bwana wa mwenzio ni ushujaa anaoweza kuuchukulia mkopo kausha damu akagawa sare za vijora na kuufanyia shughuli yenye taarabu zenye maneno kama za hawa mabinti ziimlenga aloibiwa bwana ake.