Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ukifikiri kwa kina ni bora hata kuruhusu wanafunzi wakimaliza primary waolewe tuuu na shule zibaki na wanafunzi wanaojua wafanye nini na wa familia zilizojitambua. hii itapunguza UPUMBAVU mwingi sana MITAANI yaani mitaa mingi IMEOZA ukikaa kilimanjaro maeneo mengi mtu akiishia Lasaba au 4 anajiunga hata na veta zaidi ya hayo Atakuwa na msongo wa mawazo na kuona ameshindwa maisha.

ila sasa kuna Mikoa kipaumbele cha wanafunzi wengi ni MADRASA tuuuuuuu
 
Shida kipato. Unakuta wazazi wanapambana Dogo apate Elimu, asa uwezo wa kumpeleka shule za mbali hawana, Dogo badala ya kujitambua ndio ivo, peer pressure.
Wanakujaga shtuka too late.
Na peer pressure ya mji wa daslamu ni kali sanaa aiseee,

Ukiingia tu daslamu unakutana na utamaduni mpya ambao ni very fragile and slippery
 
Nyie makafiri kutwa mnamtukana Samia sababu ya Dini yake,mara kateua waislam tupu,sasa kama hawana elimu kwann wanapata teuzi? Samia kashawagundua makafiri mnaongozwa na chuki, sasa anadili na nyinyi kisawasawa bila huruma kama msivyo nyie na huruma! Kitiima and others lazima wakanyee ndoo segerea sababu ya ghasia za October 29 na mauaji!
Mtapelekewa moto vizuri TU nyie jamii yenye chuki!
Kuna msemo kuwa "kobazi ni kama pembe la ng'ombe, halijifichi"
 
mkuu kuna ka uhusiano ila wewe wangalie wenye mtandio na wasio nao . KUna wanaoongea ila wanaona aibu na wengine wana SONI.

tanzania huu ni ukweli kuna dini au Dhehebu lina chochea Ukilaza sana
Kwani hakuna wakristo wenye tabia za hao madogo?

Nakuletea uzi wa mikoa mitatu tofauti watoto wapo kidato cha 3 wamekimbia shule na nyumbani wameenda kwa boda boda.

Hao watoto ni wakristo.

Sasa hapo utasema ukristo ndio unafundisha huo ujinga?

Mda mwingine chuki zikijaa zinapunguza hata uwezo wa kufikiri.
 
wapo mkuuu ila angalia Twakwimu na idadi leta uzi hizo
 
kuna DINI huwezi itengenisha na matatizo mengi ya MMOMONYOKO WA MAADILI TZ.

ukitaka afanya research yako tanga na zenji.

maemeo mengi tuuu ukisikia wana sema huyo MPEMBA huyo kuna kuwa na uelewa juu ya tabia zao
Pia Mikoa ya pwani ya afrika mashariki kuanzia lamu, mombasa, tanga, etc ndio inaongoza kwa vijana wengi mashoga
 
sio utani mzeee wewe angalia hata ufaulu na shule 10 za mwisho kila mara utaona nyingi zipo maeneo yaliyojaa hiyo dini
Bado unafanya kosa lile lile tu.

Kwahiyo uislamu ndio unafundisha watu kufeli?

Kwamba ukiwa muislamu wewe ni kufeli moja kwa moja?

Vipi waislamu wanaofaulu na kumaliza mpaka vyuo na wamesoma dini?

Profesa lipumba ni muislamu.

Profesa Assad ni muislamu.

Kilichowapeleka chuo mpka kuwa maprofesa sio uislamu ni juhudi bidii zao na kujitambua kwao na familia zao.

Hakuna mchango wa uislamu kwenye kufeli kwa waislamu.

Mengine ni porojo tu ambazo hata kuzitetea huwezi.
 
TWAKWIMU za mtu mmoja mmoja ndio hoja yako???????????????
asilimia 90 ya mashoga tanzania ni ......................
asilimia 10 iliyobaki imechangiwa na Utalii kanda kaskazini na hali mbaya ya maisha
asilimia 90 ya .......................wanaoishi Dar es salaam ni dini.......................................
 
Sasa ukristo ndio unawafundisha wawe hivyo?

Kwenye hiyo video kuna sehemu hao watoto waliokosa malezi bora ya wazazi wanasema

"******** vicheni mabwana zenu"

Unataka kusema kwenye uislamu kuna mafundisho yanafundisha waumini wake kutukana?
Issue na Hoja hapa ni kuwa kuna DINI flani imechangia pakubwa mmomonyoko wa maadili tanzania hata vitendo vya ukatili vinavyorepotiwa tuuuuuu vimejaa kwao
 
Back
Top Bottom