Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Unavifuata mtaani kwao, unajifanya fala, sema hivi vinapenda vijana flani wanaovaa majeans mapana na masendo yenye soli nenee
nakupa code... tupia kiatu kikali cheusi, kula suti kali na tai.... timba kitaani kwao, huwakosi hao
 
Hao watoto ukicheki wazazi wao ni wale maskini choka mbaya, wanaopenda ngono na kuzaliana kama mapanya.
Well said mkuu,

Ujinga ni kuwa kuna watu wanaacha kusema ukweli na kuanza kusingizia vitu very cheap kama ajira na serikali.Wakati kiuhalisia uzazi usio na mpango ndio hasa shida yenyewe.
 
Back
Top Bottom