prida
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 1,297
- 2,596
Kwa kipi?Vitayumbisha Sana ndoa za watu hivi
Huo mkwara?
Kwamba mtaani hakukua na kama hivi siku zote?
Kwa kipi?Vitayumbisha Sana ndoa za watu hivi
Wakubwa zao ndio akina pipi tidakuna mwingine kasema aibu mtaona nyie
,, hivi hawa watoto hawana wakubwa zao wakuwahofia?
kashesheWakubwa zao ndio akina pipi tida
Huo ujinga tangu Ndalichako atoke NECTA wameuacha.Kobazi shule sio kipaumbele chao wanawaza ngono na kuzaa tu. Baadae wanalalamika wanafelishwa na teuzi za madaraka zina upendeleo
MAYBEKAMA MTU HUJIWEZI KIUCHUMI ACHA KUZAA.HIZI FEDHEA NYINGINE NI UBISHI TU WA WAAFRIKA.
MNATULETEA MALAYA,VIBAKA,WEZI NA WAMACHINGA,BODABODA. HAWA NDIO WANATUHARIBIA USTAARABU NA UTARATIBU!!!
#UBINADAMU NI KAZI!!!!
#KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!!!
Hongera sana, nitawaletea juisi ya maperaTayari.
Ni vijomba
Na wewe unaamini wataanza kukwapua mabwana baada ya kumaliza shule.
Hiyo ndio kazi yao mkuu
Ukishasikia mtoto wa kike wa uswazi anapendelea neno "kmmk" "ficheni mabwana zenu"
Kiufupi tu kashakubuhu na kwenye shughuli za mtaani ndo huwa vinakiwasha na kusaula
Ni ngumu sana kulea mtoto kwa akina kobaz wa kuanzia Moro mpaka ukanda wa pwani. Sherehe za hovyo kama vigodoro au vijamvi ni mara kwa mara mambo ambayo yanachangia kwa kiasi kikubwa mtoto kuharibika.Hao wengi ni kobazi
Hivi watoto wa siku hizi ni nini hasa kinawawasha huko chini?
Unavifuata mtaani kwao, unajifanya fala, sema hivi vinapenda vijana flani wanaovaa majeans mapana na masendo yenye soli neneeKwa hyo mad max ni kivipakuwa kweli
Utakavyokwenda ndio watakavyokupokea
Nouma sanaaaa
Akhi.Ulichoonge ni makosa ilibidi ufanye research kisawasawa .
Ingekuwa Uislamu ndio imechangia hayo ungefanya tafiti je Uislamu unasemaje kuhusiana na hayo ?
Mfano mzuri angalia Uarabuni ulipotoka Uislamu je , Wanawake wao wapo kama kina Mwajuma na Ashura wa bongo ? wakati huko ndipo Uislamu umekolea kama Wanawake kuwehuka huko si ndipo ilibidi wawe zaidi ya bongo ?
Vipi Wanawake Waislamu wa Uchagani , Mbeya wapo sawa na wa Dar au Mtwara ? kwa nini usingechunguza Influence ya kimazingira , tamaduni , makabila nk kuchangia hayo kuliko kuangalia dini pekee ? ukiacha mambo ya dini makabila ya Pwani yanatamaduni zao za hovyo za mambo ya kuendeleza ngoma toka enzi ..
Mfano baadhi ya jamii za Wakiristo Wakurya nk wanakeketa na kupiga sana Wanawake je , itakuwa sawa kuhusisha Moja kwa moja na Ukiristo bila kuangalia engo nyingine mfano Mila na desturi ?
HatuchungikiWadada chungeni waume zenu
Shughuli imeisha 😁Kamesema "kama una shughuli tuaulike".
Umekaa zako huna habari mara video unatumiwa unaona mwanao unadhani yuko busy anasoma kumbe anawatisha watu kuwa atawachukua mabwana zao.
watoto hawaaribiwi na mitandano,wanaaribiwa na sisi WAKUBWA