Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

wanajua sana, vijana wa leo wasilijue hilo? lkn sasa utawafanya nini? utawanyonga hadharani au? huo ni ujumbe ulio wazi maana yake wameshachoka, wamekaa shuleni miaka yote hakuna kitu wamepata siajabu hata walimu walikuwa hakuna, they learnt nothing, sasa hiyo ndiyo namna yao ya kufikisha ujumbe, na siyo kwamba hawajui kama wanaonekana wanajua lkn wameshakata tamaa na wako tayari kwa lolote.

hii yote inasababishwa ya incompetence kila mahali kwenye hii regime, fedha ambazo wanachezea kwenye anasa kuanzia magoli ya mama, sijui jezi, mara kuwaleta sijui ferdinand, afcon wangewekeza hata 1/4 tu kwenye kushughulikia matatizo ya kijamii ingesaisdia sana lkn ndiyo hivyo, pure evil ...
Ni kweli kabisa..kumekua na kampeni ya kuidogosha elimu ni kweli elimu yetu haiko katika viwango vile lakini haipaswi ku discourage watoto wasisome yani kiufupi kwa sasa hakuna motivation yoyote si kwa wazazi, walimu wlaa walezi kuhusu elimu tena mana mzazi mwenyewe ni Muhanga wa hili,walimu kila siku wanazodolewa kuhusu mishahara midogo na akuna anayewatetea huku V8 zikizidi kuongezeka kwa wenye nchi. Inasikitisha kwa sababu hawa wanakwenda kua jamii yetu, wanaenda kua mama kwa umri mdogo imagine watoto wao watalelewa kwa maadili gani?
 
Huwezi kukuta watoto wa ST FRANCIS au FEZA wana thinking ya chini kama hawa wazazi tutafute hela kwa nguvu
 
Waachenai bhana hao watoto wa elf200 wana kosa gani? Wanasaidia sana kupunguza viburi ndani ya ndoa.

Huyu wa kwangu tangu hiyo clip aione mtandaoni naona kaheshima kamerudi ndani
 
Ulimbukeni wa Kidini: Baadhi ya viongozi wa dini wasio na elimu ya kutosha hutoa miongozo au fatwa (hukumu) zinazokinzana na maadili mema ya kibinadamu na amani.
Uelewa wa Juu Juu: Baadhi ya watu au vikundi hutafsiri aya za Kurani au Hadithi bila kuelewa muktadha wake (Asbab al-Nuzul), jambo linalopelekea tabia hasi kama misingi mikali, ubaguzi, au kukataa mifumo ya kisheria na kijamii.
Kutofanya Yale Yanayohubiriwa: Kuna utofauti mkubwa kati ya mafundisho ya dini na vitendo vya wanaofuata dini hiyo. Mmomonyoko wa maadili hutokea pale muumini anaposhindwa kutekeleza misingi ya dini yake (kama vile uaminifu, unyenyekevu, na huruma) na badala yake kufuata matamanio binafsi.
Tatizo la Malezi: Mafundisho yanaruhusu mwanamume kuoa hadi wake wanne iwapo ana uwezo wa kufanya uadilifu. Hata hivyo, pale mafundisho haya yanapotekelezwa bila uadilifu wa kiuchumi na kihisia, husababisha uzazi wa watoto wengi ambao wazazi wanashindwa kuwahudumia.
Mmomonyoko: Watoto wanaokosa malezi bora ya baba na mahitaji ya msingi huishia mitaani, jambo linalowapelekea kujiingiza kwenye uhalifu, wizi, na madawa ya kulevya.
Msisitizo wa Nje Kuliko Ndani: Kuna wakati mafundisho yanajikita zaidi katika kusimamia mavazi ya nje (kama vile Hijabu au Baibui kwa wanawake) kama kigezo kikuu cha maadili.
Mmomonyoko: Hii inaweza kusababisha tabia ya unafiki, ambapo mtu anavaa kihafidhina mbele ya jamii ili aonekane mwema, lakini anajihusisha na vitendo viovu kwa siri kwa sababu moyo na akili havikujengwa katika maadili ya ndani.
Mifumo ya Ukandamizaji: Baadhi ya mafundisho yanayohusu utii wa mwanamke kwa mumewe au nafasi yake katika jamii yanapotafsiriwa kwa misingi ya mfumo dume, huondoa sauti ya mwanamke.
Mmomonyoko: Hali hii huchochea unyanyasaji wa kijinsia na majumbani (vipigo, kutelekezwa kwa familia), jambo linalovunja misingi ya amani na upendo ndani ya familia ambayo ndiyo kiwanda cha maadili.
Kutegemea Toba Pekee: Mafundisho yanayosisitiza kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Kusamehe (Ghafur) na kwamba toba hufuta madhambi yote yanaweza kuchukuliwa vibaya na baadhi ya watu.
Mmomonyoko: Huwapa watu ujasiri wa kutenda makosa ya kijamii (kama vile dhuluma, rushwa, au uongo) wakiamini kuwa watafanya toba au kwenda Hijja na kusafishwa, bila kujali madhara waliyosababisha kwa wanadamu wenzao.
Uislam ulikosea sana kwenye kulegeza mashart ya ndoa na talaka,hapa ndio malaya wanapoingilia na kutokea mwisho wa siku kujaa kwa singo mama na haya ndio matokeo yake.
 
KAMA MTU HUJIWEZI KIUCHUMI ACHA KUZAA.HIZI FEDHEA NYINGINE NI UBISHI TU WA WAAFRIKA.

MNATULETEA MALAYA,VIBAKA,WEZI NA WAMACHINGA,BODABODA. HAWA NDIO WANATUHARIBIA USTAARABU NA UTARATIBU!!!

#UBINADAMU NI KAZI!!!!

#KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!!!
Hao watoto ukicheki wazazi wao ni wale maskini choka mbaya, wanaopenda ngono na kuzaliana kama mapanya.
 
Honestly tumawahukumu vijana wa kiume kimakosa kabisa kama visichana vinasumbuliwa na nyege hivi!
 
Back
Top Bottom