Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Kobazi shule sio kipaumbele chao wanawaza ngono na kuzaa tu. Baadae wanalalamika wanafelishwa na teuzi za madaraka zina upendeleo
NAdhan sio poa kunyooshea vidole dini but jamii za ukanda huo zimeathiriwa sana na hizo mambo? Look at products zinahotoka? Kuna malezi hapa?

Hawa watoto wameshakuwa set to fail before they even begin
 
Namba Zao tumezinakili ipasavyo
Screenshot_2026-10-26-13-22-54-336_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2026-10-26-13-22-36-973_com.instagram.android~2.jpg
 
Kwa mnao ishi dar
You Better Watch Your Child, utafutaji wa pesa usiwasahaulishe kujari kizaz chenu.

mara kwa mara peleken wanenu vijijn huko wakajifunze tamaduni na namna ya kuishi na watu.

dar hamna malezi ata kibint kidogo ukikikoromea kitakujibu matusi hadi aibu uone tena kwa sis wa mikoan hatujui ata kujibzana ni shida.
 
Unavifuata mtaani kwao, unajifanya fala, sema hivi vinapenda vijana flani wanaovaa majeans mapana na masendo yenye soli nenee
mlemle mjomba pia vinapenda vijana wanao vaa kaptula mchano na virasi kichwan au msokoto
 
View attachment 3697338
Dr am 4 real PhD what happened to our youths, my brother?

Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"
Siwezi acha mume wangu nikiona Gen Z pahala. Nimempiga marufuku Mlimani city na kwa malls, bora "yaya" aende si mume angu!
Hawa watoto watamtengua kiuno na kuniletea UTI sugu.
 
Back
Top Bottom