Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Hao wanaakisi maisha ya wanadaresalam hali Iko hivyo kwa sasa
Subirini challenge ya wakiume wenzao wakiwa na ganja na misokoto jamii inanuka kutwa kutupiana lawama bila kuwajibika
Humu nyuzi zinazoenda kwa Kasi ni za kule jukwaa la majamboz, lakini watu hao hao wanataka jamii iwe tofauti na wanayojadili
Humu kutwa kuzinanga dini za majahazi lakini hapa lawama zote ni kwa dini iliyowakilishwa na jina la shule, Yani mnataka matokeo tofauti na mlivyo!!!?
Humu msichana/mwanamke hapangiwi mavazi na nyuzi zinazohimiza maadili hupingwa maana maadili ni neno pana, lakini kwa hao madogo mnataka wawe na maadili
Chichidodo style