Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

naongea ukweli.


dsm kuna Upumbavu na hiii ni kutokana na kukosekana UONGOZI narudia tena.



rafiki yangu alisimamia field siku wana maliza wanafunzi walimwambia tukikupa utaweza???????????

maongezi yanayoongoza shuleni ni KUFIRANA na KUFIRWA

sio wakike au wakiume maongezi hayo yamejaaaa utasikia
mimi boyfriend wangu nampa ****** na hio ndio sifa.


SEKTA ya elimu hasa shule za serikali Dar ni aibu.

ukiangalia matokeo yao Aibu

Watoto wakike toka primary wanatoka na madereva baada ya kula nauli kwa VISHETI na PWEZA
sekondari wanatoka na Vile visanii na wahuni WENYE VINYWELE KAMA RASTA

migogoro ni kugombania wanaume.



tabia hizi zipo hadi kwa watu wazima ambao Walisoma VISHULE HIVYO ..ukikaa mitaa ya DAR kume jaa upumbavu mwingi kazi kuu ni kukesha kukopa kila kona
,,,🤣🤣🤣🤣 huko tuendako ni balaa ,daah eti kula vishet na pweza
 
Wapumbavu wameshaa haribu Uzi kwa kuleta udini.


Usijifanye unasema kijumla jumla na kusawazisha. Ukiusoma huu uzi utaona kuna mtu alianza kwa kuwakashifu Waislam katika uzi huu. Uislam hauna kosa lolote lile wala hauna mapungufu yoyote yale.

Na hii ni kawaida humu, kukiwa na Muislam amefanya jambo baya, Dini yake itatukanwa, ila Waislam wanapofanya mazuri ambayo Dini yao ndio hasa imewafundisha hata kuyataja hayo mazuri yakitajwa kuna watu hawataki na watakuambia inahusiana nini na Dini? Au watakuambia unaleta Udini. Kwenye mazuri Muislam akifanya basi yeye ni Muafrika, Mtanzania au Mtu tu hatajwi kwa Dini yake. Ila akifanya jambo baya atatukanwa kwa Dini yake.
 
kuna mwingine kasema aibu mtaona nyie
,, hivi hawa watoto hawana wakubwa zao wakuwahofia?
Unajua ni mazingira tu ndo yana wafanya hivyo... Na unako elekea ni ubaya zaidi..

Nilipo panga kuna vitoto ndo vinamaliza primary, nyonyo ndo zinaota ila vinafanya ujinga, na kutukana matusi ya nguoni hadharani kabisa.

Alafu vina mazoea ya kijinga,

Na huo msemo wa "aibu mtaona nyie" ndo kabisaa..

Ila hii ni result ya kukosa malezi bora, siku hizi watoto wa kike wanaona fursa ni bora wadange tu, wanasema, "nikunyime kwani nitazikwa nacho?"

Binafsi naona kabisa ni kwa sababu hakuna tumaini tena. Priorities zao zinaenda kwenye maisha feki ya ku danga alaf baadae wakishua chuja with nothing on their names wanaanza kujiliza kama Giggy money
 
Back
Top Bottom